Weka maneno kwenye picha hii

Weka maneno kwenye picha hii

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
950
Weka maneno kwenye picha hii
nepinamnyika.jpg
 
Duh, Nepi ana bonge la mipaja, imenona, yani ungeziba kuanzia kiunoni kuelekea juu, comment zingekuwa tofauti sana....#justsaying
 
Nape anasema: Halafu we dogo uache habari zako za kunizibia ninapotaka kujiunga CDM,....mnyika nae, ....kama sio gamba we njoo tuuu!
 
Nape:...aisee mnatupeleka peleka.

JJ:...acheni uoga, mnakuwa kama hamjui siasa bwana!

Nape:...ila mmetukubali kiana.

JJ:...¨ªla chai ya ikulu tamuu...

Nape:...hahahaaa, karibuni tena

JJ:...ngoja nionge na mwenyekiti tutafute sababu, he! Umehamia VETA?

Nape:...umenichoka ee...
 
'Naona kuna kautabiri hapa kanataka kutokea kutokana na hizi suti tulizovaa!!!!!!!!
 
Nape:...aisee mnatupeleka peleka.

JJ:...acheni uoga, mnakuwa kama hamjui siasa bwana!

Nape:...ila mmetukubali kiana.

JJ:...¨ªla chai ya ikulu tamuu...

Nape:...hahahaaa, karibuni tena

JJ:...ngoja nionge na mwenyekiti tutafute sababu, he! Umehamia VETA?

Nape:...umenichoka ee...

no coment, umeweza nadhani
 
Weka maneno kwenye picha hii
View attachment 42837
"Nape:We dogo hivi kwa nini Hukuniachia jimbo la ubungo?"
Mnyika:Kwani mimi? si Mwenyekiti wenu akamweka yule mama?

Nape:Halaf mkanibania kujiunga kwenu....

Mnyika:Ujiunge ili ugombee ubungo....!kwani mie sitaki ubunge?

Nape:Anyway....!nikitaka kujiunga CDM inakuwaje??

Mnyika:Acha tamaa dogo,kwanza we si ulipewa u-DC Masasi? na huku unataka,Katibu mwenezi wewe,gamba wewe,CCJ wewe...! duh ndo maana wenzio wanakuita rafiki wa David Cameroon

Nape:Naona umeanza kuingia mpaka ndani,utavimba si muda dogo.......

Mnyika:Fisadi tu weweeeeeeeee......................
 
Nape: Mnyika unajua CCM wasingefanya uhuni na wakanipitisha kugombea ubunge ningekushinda jimbo la Ubungo?

Mnyika: Wewe acha hizo, wakati mimi nilikuwa na nguvu ya umma!

Nape: Mbona vijana wote wa Ubungo nilisha wateka na kuwaahidi maisha bora?

Mnyika: Vijana wa Ubungo sio kama wa majimbo mengine, hawadanganyiki.
 
Hivi kwa nn usiwe unanipa twishen ya kuongea point kaka mnyika nadhallka kila nachoongea naonekana zuzu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom