Mkuu kama sikosei huyu dogo alipewa miguu baada ya picha hii kuonekana nadhani ni mwaka janaKutoa ni moyo na si utajiri, miguu ya bandia ipo tuache masihara huyu yuko wapi? Ni rahisi ngamia kupita kenye tundu la sindano ila si tajiri kuurithi ufalme wa Mungu.
Sitalala leo nakwambia kwa hii huzuni
Uchochezi huu