Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Wanajamvi,
Umuofia kwenu. Awali ya yote nawasalimu akina mama wenzangu na akina baba pia. Mimi ni mmoja wa watu walioshuhudia vifo, pengine kuliko watu wote humu. Haswaaaa...Rwanda genocide ya 1993/4 nikiwa na wazazi wangu Ngara tulishuhudia miili ikielea mtoni Rusumo.
Any way, mada yangu ni kuwa Je kuna tofauti kati ya kumtabiria mtu kifo na mauti yanayokukuta mtabiri????
Basi hebu tuweke list ya watu waliowatabiria wengine vifo badala yake wakafa wao. Je vifo vyao vina uhusiano na utabiri wao????
Karibuni