Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,639
- 6,439
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😍😁" Abiria tushafika Wami, nawamwaga muda si mrefu"
Punguza kupanda mabus itabidi niwe nakukatia tiketi za mbung'o ukitaka kusafiri."Ndugu abiria , poleni kwa safari.
Gari yetu inaingia hotelini kwa ajili ya abiria kupata chakula na kuchimba dawa. Tutatumia dakika kumi kwa hiyo mnaombwa kwenda na muda. Baada ya hapa gari haitasimama tena kwa huduma za chakula au kuchimba dawa"