Soul21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 209 Reaction score 345 Sep 1, 2024 #1 Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!!
Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!!
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,849 Reaction score 9,833 Sep 1, 2024 #3 UJumbe mzuri ila tatizo kubwa kwenye nchi nyingi za kiafrika vipato havitoshi kuweka akiba, siyo kama hawapendi kuwekeza
UJumbe mzuri ila tatizo kubwa kwenye nchi nyingi za kiafrika vipato havitoshi kuweka akiba, siyo kama hawapendi kuwekeza
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,523 Reaction score 104,339 Sep 1, 2024 #4 Kwa uchumi na mapato hayahaya ya mtu mmojammoja?Tujitahidi.
P P didi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2024 Posts 579 Reaction score 751 Sep 1, 2024 #5 robbyr said: View attachment 3084171 Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!! Click to expand... Mzee wa watu nguvu zimemwiishia.
robbyr said: View attachment 3084171 Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!! Click to expand... Mzee wa watu nguvu zimemwiishia.
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,487 Reaction score 20,049 Sep 1, 2024 #6 Akiba ya kwanza hapa duniani ni afya imara na bora. Mali nazo zifuate sasa.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,428 Reaction score 191,711 Sep 1, 2024 #7 incharge said: UJumbe mzuri ila tatizo kubwa kwenye nchi nyingi za kiafrika vipato havitoshi kuweka akiba, siyo kama hawapendi kuwekeza Click to expand... Umegusa kunako, mtu analipwa laki 3 matumizi ni laki 6 unatarajia nini? Bila wizi hatuendi jamaa
incharge said: UJumbe mzuri ila tatizo kubwa kwenye nchi nyingi za kiafrika vipato havitoshi kuweka akiba, siyo kama hawapendi kuwekeza Click to expand... Umegusa kunako, mtu analipwa laki 3 matumizi ni laki 6 unatarajia nini? Bila wizi hatuendi jamaa
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,428 Reaction score 191,711 Sep 1, 2024 #8 robbyr said: View attachment 3084171 Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!! Click to expand... Ndio maana ufisadi hauwezi isha nchini.
robbyr said: View attachment 3084171 Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!! Click to expand... Ndio maana ufisadi hauwezi isha nchini.
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,784 Reaction score 3,746 Sep 1, 2024 #9 Noma sana aisee.
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,182 Reaction score 6,368 Sep 2, 2024 #10 Dah baada ya kuwa nimekula hadi last dollar I earned ndio nashtukia suala la akiba.
DK Mweluvu Member Joined Mar 3, 2020 Posts 94 Reaction score 137 Sep 2, 2024 #11 Kula Maisha ukifika Uzeeni Akiba yote inaishia kutibu kisukari na Presha si bora uikandamize ili ufe umefaidi pesa zako mapema kuliko kufa na magongwa Uzee mzima
Kula Maisha ukifika Uzeeni Akiba yote inaishia kutibu kisukari na Presha si bora uikandamize ili ufe umefaidi pesa zako mapema kuliko kufa na magongwa Uzee mzima