Weird Facts

Weird Facts

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Place in the Gulf of Alaska where two oceans meet but do not mix.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371685048183.jpg
    uploadfromtaptalk1371685048183.jpg
    46.7 KB · Views: 558
Hii imetokea kwa sababu maji safi yatokanayo na barafu iliyoyeyuka kuungana na maji ya bahari.
Kwa sababu ya utofauti katika chumvi na ujazonene wa aina mbili hizi za maji, kani mvuto "surface tension" kati ya maji hayo hutengeneza kitu kama ukuta mwembamba ambao kuyazuia maji hayo kuchanganyika.
Mpaka kati ya aina mbili hizi huanishwa kwa uwepo wa safu jembamba la povu.
 
Utaambiwa ni muujiza

Hii imetokea kwa sababu maji safi yatokanayo na barafu iliyoyeyuka kuungana na maji ya bahari.
Kwa sababu ya utofauti katika chumvi na ujazonene wa aina mbili hizi za maji, kani mvuto "surface tension" kati ya maji hayo hutengeneza kitu kama ukuta mwembamba ambao kuyazuia maji hayo kuchanganyika.
Mpaka kati ya aina mbili hizi huanishwa kwa uwepo wa safu jembamba la povu.
 
Hahaha...kwa wale wasiofahamu...hii ipo sana pia kwenye lower course za mito, pale mto unapokutana na bahari...unaweza kuona kabisa namna maji chumvi na maji baridi yametenganishwa na kitu kama mpaka hivi...

Kwa hiyo case hapo juu, mwisho wa siku hayo maji yatachangamana na kuwa kitu kimoja...maji ya chumvi yatadominate!

Utaambiwa ni muujiza
 
Muujiza ni mwosho wa kutafuta majibu

...MUUJIZA = MIRACLE...

World English Dictionary
[TABLE="width: 100%"]
<TBODY>[TR="class: tr1"]
[TD="class: td1, colspan: 2"]miracle (&#712;m&#618;r&#601;k [SUP]&#601; [/SUP]l) [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: tr2"]
[TD="class: td2, colspan: 2"]- n [/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]1. [/TD]
[TD="class: td3n2"]an event that is contrary to the established laws of nature and attributed to a supernatural cause [/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]2. [/TD]
[TD="class: td3n2"]any amazing or wonderful event [/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]3. [/TD]
[TD="class: td3n2"]a person or thing that is a marvellous example of something: the bridge was a miracle of engineering [/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]4. [/TD]
[TD="class: td3n2"]short for miracle play [/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]5. [/TD]
[TD="class: td3n2"]( modifier ) being or seeming a miracle: a miracle cure [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: tr5"]
[TD="class: td5, colspan: 2"][C12: from Latin m&#299;r&#257;culum, from m&#299;r&#257;r&#299; to wonder at] [/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]
 
Ok, umegawanya kwa njia ndefu, mie nagawanya kwa njia fupi

...MUUJIZA = MIRACLE...

World English Dictionary
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR="class: tr1"]
[TD="class: td1, colspan: 2"]miracle (&#712;m&#618;r&#601;k [SUP]&#601; [/SUP]l)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: tr2"]
[TD="class: td2, colspan: 2"]- n
[/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]1.
[/TD]
[TD="class: td3n2"]an event that is contrary to the established laws of nature and attributed to a supernatural cause
[/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]2.
[/TD]
[TD="class: td3n2"]any amazing or wonderful event
[/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]3.
[/TD]
[TD="class: td3n2"]a person or thing that is a marvellous example of something: the bridge was a miracle of engineering
[/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]4.
[/TD]
[TD="class: td3n2"]short for miracle play
[/TD]
[/TR]
[TR="class: tr3"]
[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]5.
[/TD]
[TD="class: td3n2"]( modifier ) being or seeming a miracle: a miracle cure
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: tr5"]
[TD="class: td5, colspan: 2"][C12: from Latin m&#299;r&#257;culum, from m&#299;r&#257;r&#299; to wonder at]
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Hii imetokea kwa sababu maji safi yatokanayo na barafu iliyoyeyuka kuungana na maji ya bahari.
Kwa sababu ya utofauti katika chumvi na ujazonene wa aina mbili hizi za maji, kani mvuto "surface tension" kati ya maji hayo hutengeneza kitu kama ukuta mwembamba ambao kuyazuia maji hayo kuchanganyika.
Mpaka kati ya aina mbili hizi huanishwa kwa uwepo wa safu jembamba la povu.

Sijakuelewa! Kwa hiyo bahari nyingine maji yake yanatokana na myeyuko wa barafu?
 
Sijakuelewa! Kwa hiyo bahari nyingine maji yake yanatokana na myeyuko wa barafu?


Ni hivi mkuu...
Bahari za kaskazini na kusini mwa dunia huwa na mabonge ya barafu ambazo kwa lugha ya Kiingereza huitwa icebergs. Hii ni kutokana na kizingo cha jotoridi kwa maeneo hayo kuwa chini ya nyuzi joto sifuri.

Iceberg is a large piece of freshwater "maji yasiyo chumvi" ice that has broken off a glacier or an ice shelf and is floating freely in open water


article_iceberg-420x0.jpg


Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, joto la dunia limekuwa likiongezeka 'global warming effect" na kupelekea mabonge hayo kuyeyuka taratibu na maji yake kuungana na yale ya bahari.

Sasa baada ya utangulizi huo, sio kweli kwamba bahari nyingine hupata maji kutokana na miyeyuko ya hizi icebergs.
Kama utakuwa umesoma elimu yako ya msingi hapa Tanzania, wakati tupo darasa la nne kama sijakosea tulifunzwa kuwa vyanzo vya maji ya bahari ni mito ambayo hutiririsha maji yake huko.
Somo hili pia tulikuja kujifunza kidato cha tatu na wengine kidato cha nne kwenye somo la Physical Geography.
 
Back
Top Bottom