Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jamani kila kitu ni kwa kiasi tu..................vinginevyo ni kilio na kusaga meno.................
Acha nibaki na ubonge wangu mie duh
No weight loss but kutoa kitambi kwa wanawake ni muhimu:A S-alert1:
inaelekea unapenda wanawake slim,wanaume wenzio wako comfortable na vitambi vya wanawake!!km wewe kinakuput off pole.... nina kitambi kangu hapa..umenigusa lols:whoo:
inaelekea unapenda wanawake slim,wanaume wenzio wako comfortable na vitambi vya wanawake!!km wewe kinakuput off pole.... nina kitambi kangu hapa..umenigusa lols:whoo:
hahahaaa lol
kipipa tih tih tih kwi kwi kwi