Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Kwakweli anipe mahela tu anaweza ninunulia kitu sijakipenda
Kwakweli anipe mahela tu anaweza ninunulia kitu sijakipenda
Nawe lako anakulindia nani eti
Halina ulinzi siulisema niwe na moyo mgumu tu




kwahiyo hunilindi unataka niibwe we mwanaume umenishinda
Naomba usitokeHome bado na nishalewa jamani
Hahaha. Huyo ni rafiki yangu so usiwe na wasiwasi hakuna kitakachoharibikaMkuu
Umeanza kuzoa wake za watu ?
Mie nimefunga kulana kwa mwezi huu mzima mpaka Pasaka ipite so utakuwa kwenye safe handsHahahahaaa. Sitaki utanikula. Huku ndani kuna mtu mmoja tu ndo najua niko nae safe nikizima
Kweli abaki huko huko...Naomba usitoke
Abaki tuKweli abaki huko huko...
Nkikupa helaShemeji nipe mahela nitanunua mwenyewe
Hahahkwahiyo hunilindi unataka niibwe we mwanaume umenishinda
Acha niibwe tu hakuna namna jamaniHahah
Sawa shemNkikupa hela
Utasahau kama niliwahi kukupa zawad.
Nitakupa vyote shem
SawaNajiona kutoka kabisaaa
HayaNtakwambia
EeeehNakuona unalinda koloni lako