Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
NakusalimiaAbee
NakusalimiaAbee
WoiiiiiiUnataka kwenda wapi tena bila mimi?
Hata huku kuna wadau sana mkuu chilaxIlo tangazo ungeweka insta ungepata sana wadau
Umenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuletaUvae kiheshima ni shemeji ako uyo




Eeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewaHahaahahaaaaa. Sio mchaga yule masai bwana. Yule akiniona atanisumbua akishalewa. Alikuaga shemeji ako![]()
Ebu kuya
Anhaaa hapo sawa![]()
![]()
wew si utakuwepo pemben
Kila abiria achunge mzigo wake![]()
![]()
![]()
bebi sio kwa wivuu huoo
Shoga liwe pana panaNitavaa dera mama![]()
lisiruhusu chura kuonekana kwa urahisuWadada wanamtongoza jamani. Sema kazuri ila umalaya tu. Alikua ananiambia beb huyu naoa kabisa. Walikaa miezi mitatu wakaachanaEeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewa


. Walikutana wote matatisoHahahahaha ilitakiwa uvae sketi na blauzi ya kitenge,blauzi ina bega lefu kwenda juu na remba kubwa kama la kinaijeriaUmenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta![]()
mashemeji wa hivo siwapendi,yan kumkula shoga/mdogo wa mpenzi wake haoni hatari.Ujinga zaidi ni wa mkulwaji,unakubalije kukulwa na shemejio sasaNimekuya dadaaaaEbu kuya
Watu na miwivu jamaniShoga liwe pana pana![]()
lisiruhusu chura kuonekana kwa urahisu