Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Hapana shemeji naweza nisimpende kama Davet si unajua mapenzi ni hisiaNakupa mdogo wangu akuliwaze kidogo
Hapana shemeji naweza nisimpende kama Davet si unajua mapenzi ni hisiaNakupa mdogo wangu akuliwaze kidogo
Acha tuYouu...

Nimepatwa





ebu ngoja ile I'd ya toka mchana iliyokuwa inanitukana mm na wewe si imepata ban au kafungua nyingine maana ilikuwa inaniandamaYani nimeipenda sanaa...chaaaaahalafu hata sio mchaga mie
Na nniNimepatwa
MmmmhKigauni cha purple babe. Kiko status.
Niliangalia siku moja nikaachana nayo.






nimekuwa teja mama kama sina cha kufanya
He heYani nimeipenda sanaa...chaaaaa
Haya shemHapana shemeji naweza nisimpende kama Davet si unajua mapenzi ni hisia
Mbona humuulizi kapatwajeHahahahahaa
Imekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoniebu ngoja ile I'd ya toka mchana iliyokuwa inanitukana mm na wewe si imepata ban au kafungua nyingine maana ilikuwa inaniandama
yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
Kheeeeee hivi wakunyumba nafanania mchaga lakini eti halafu watu wengiKuna mtu aliniuliza pia kama wewe ni mchaga.
Waiiii....basi nitabaki peke yanguMi nitakua na bby wangu