Weekend yako wapi leo

Mi home spending with my family,tena hapa nacheza na mtoto wangu,raha usipime
 
Home... Full kulalaaaaa!!!! nalipizia usingizi wa wiki nzima
 
Nasubiri mechi ianze(UCL) na glasi yangu ya wine,Meridian Hotel,Kinondoni
 
Mm nipo home na bia zangu nasubiri madrid wanipe raha
 
Mchukue shem muende bakurutu kusherekea mavuno ya mahindi...

Ha ha ha mkuu, nilijipa mapumziko ndiyo naiona post yako. Tulikuwa tu home si unajua kuna wakati mwingine mnataka kaupepo ka home tu. Ila mkuu nililima kimchezo tu na nikawahi kupanda. Nilicheka sana kumbe hata pwani ukiamua unapata!! Sijui wenzangu wazaramo wana jinamizi gani la umaskini.
 
Hahahahaha. .. nawahi kutubu...

Ha ha ha ha ile sala ya Nakuungamia Mungu Mwenyenyezi kwani nimtenda dhambi ..... halafu unagonga na kifua mara tatu....Imani jamani ni kitu kingine kabisa.
 
Ha ha ha ha ile sala ya Nakuungamia Mungu Mwenyenyezi kwani nimtenda dhambi ..... halafu unagonga na kifua mara tatu....Imani jamani ni kitu kingine kabisa.

Kwanza unatulia Kama sekunde 30 una-recall dhambi zako ndo unashusha sala
 
Weekend tena hiyoooooooooooooooo...this time naianzia ijumaa nikitoka job tu jion naunga mitaa ya City pub nipige zangu mbili na mtura halafu kesho ndio ratiba kamili inasomeka....we hujaianza tu?
 
Weekend tena hiyoooooooooooooooo...this time naianzia ijumaa nikitoka job tu jion naunga mitaa ya City pub nipige zangu mbili na mtura halafu kesho ndio ratiba kamili inasomeka....we hujaianza tu?

Nimalize kadigrii kangu nami ntafute job, mnafaidi mtaani jmn mweee!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…