Siku nyingine jua la kawaida
na upepo mwanana Kwa mbali.Nimeamka na furaha sana.
Nikajiandaa fresh na chukua funguo zangu za JEEP na kuzama ndani ya mkoko wangu Moja Kwa Moja Hadi klabu.
Nimefika tu Ile napaki nakutana na rundo la wanawake Kila mmoja ananisubiria anatafuta wa kumlipia aingie kucheza naye Kwa step.
Basi baada ya kushuka nikaamua kuchukua toto jeupe la kihindi na kuingia nalo.Wengine Wakabaki wanamuonea wivu tukawaacha wapambane na hali Yao.
Mtoto ana ngozi laini Moyo ulifurahi.Tumeingia ndani Kuna shamra shamra kibao Kila mtu na furaha anacheza na wake.
Basi tukapata vinywaji viwili vitatu na totoz ikisindikizwa na nyama choma.Mood za kucheza zikampanda.
Basi nikamshika mkono kama ni mume wake vile tukatoka mezani kucheza kuchi kuchi.Anajua kukatika utadhani kafundwa na wamakonde.
Wote tumecheza Sana Kwa muda mrefu mara tunaskia DJ anasema “wanaume mliokosa wanawake mjiandae wamefika wanawake Ishirini wapya”.Watu wanapiga makelele (Woyoooooooooooooooooo)
Mtoto akaninongoneza amechoka alafu hapendi makelele .Basi nikamwambia twende geto na akakubali.Tukaingia kwenye JEEP tukaondoka.
Tumefika nyumbani yupo kalewa kiasi.Basi nikamshusha kwenye gari na kumpeleka Moja Kwa Moja Hadi chumbani.Nikatoka kuingia bafuni kuoga na kurudi Tena kupumzika naye.
Ile narudi kutoka bafuni nashangaa ameshavua nguo.Nikasema hii sio kula Tena tunda tena kimasihara.Ni chakula kimejileta chenyewe.
Nikajifuta haraka mapigo ya Moyo yakienda Kasi kama chui.Nikamrukia kama chui mwenye njaa na kuanza kumromance.................Mtoto ana joto Sana haikupata dakika kumi wazungu hao.
Mara naskia Baba Naniliu unafanya nini.Ayaaaaaaaaaaa kuamka najishangaa nipo nimelala pembeni ya mke na nimelowa BOXER.