Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Nimeisoma yote usiku huu from part one mpaka mwisho ,ahsante saaana dada Lara 1 ,nice story kwakweli
 
😀😀😀😀 Mkuu mbona unamuua dada Lara1 kama hivyo?

namkata spidi huyo kiazi si unajua tena.......akionyeshwa ukarimu kwa malaiki hakawii kugongea kimaukweli kweliii.

Ofcoz mwenyewe nimeloa nasikilizia hisani tu hapa sasa tukiwa wengi makelele sholi ataona tunazingua tu au tunampanga dizaini za walter, si unaona dem mwenyewe mjanja anastukia manyuzi. game anajua so humpigi saundi kilaini lazima ukaze
 
Wana literature wanasema "suspense" ....the outcome is uncertain tumekuwa desparate tunataka more informations big up Lara 1....#teamWalter
 
Ile episode ya Walter jamani nimelia, nimeliaaaaa haswa!
Wewe Lara mtu mbaya sana.
Asante kwa hadithi nzuri, niseme nini?
Maneno yameniishia.
Ila nashukuru hujabadili gia angani, imeisha namna nilivyotaka iwe. Kwangu imeisha vizuri sanaaaa!
 
wewe jamaa utakuwa chalii wa Ara, sio kwa mkwara huo!
 
Sijui kwanini pamoja na mtiririko wote huu na vituko vyote na utukutu wa Walter bado niko upande wake, na nadhani Walter ali deserve kumwoa Iqra pamoja na madhaifu yake....ila baas mwenye story yake ameshaamua!
Nami nampenda sana Walter. Jamaa anayo courage ya kutosha.
 
Jmn mweee i miss carry wew lara ila jmn pa1 na utajr wa mr mjungu wanae wate wamesogeza na kusogezwa no ndoaaa
 
Kama nakuona vile ulivyokasirika hahahaaa
collin hatareee
 
Lol, seems walter cant deal with the reality
Iqra will never be his
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…