Weekend Story! Glory Be To God!

Ndo naanza kuandika na speed ya 4g saa 6 kitu pwani! Ashukuriwe MAIN SPONSOR WETU MOTP kwa kujiongezaaa kunipa pesa ya biaaa.

MOTP AKA MANJI USHUKURIWE SANAAA.


Next story natumia majina ya members kaeni mkao wa kupata uhusika. Sasa unajikuta jina loko yuko msomali au MOTP afu anakukera hatari. Ndo utafurahi
 
hu hu huuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama namuona vile Samaritan anavokua Baba winnie

- KANA -
 
Jamani niwe tu mkweli leo mnachezea SIMBA, ndo nafika maskaniii! Nikianza kuandika sahivi saa 8 hio afu mlivo firauni mtalala wote mniache na wabeba box tu
Mtumishi silali niko bega kwa bega nawe mpk kieleweke!
 
MOTP popote alipo abarikiwe japo ulikataa kumpa tezi dume...
 
Team msomali! Sifa ya mwanaume machine babu weye pesa inatafutwa.
Mwanaume mashine nmekua msaga sumu?

Mwanaume kuchakarika, huko anakoenda msomali wenu ataishia kufua vyupi vya Sally akitoka kukazwa na watu wenye ramani zao hapa mjini

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

- KANA -
 
Tunakusubili lara ujue
 
Nasubiri kitu hicho, nshapata ghahawa msemo wa waswahili. Macho kodoooo

- KANA -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…