Mr. Glasses!
Najua ndugu wasomaji hamjanifahamu vizuriii sanaaa, mimi ni nani na natokea wapi wala naelekea wapi, hayo machache mnayoyajua kuhusu mimi na uhakika yana wavunjeni moyo, hata mimi ndugu msomaji nishavunjika moyo mpaka basiii, mpaka nimechoka kuvunjika moyo, nimebakia kukakamaa moyo.
Umri huu bado natafuta mchumba kweli kweli ndugu msomajiii? Kweliii? Hahahahaaa! Usione ukadhani. Na kinyume na mambo alionisema Nadya mimi si mbaya well ukiacha miwani hii nayovaa tena lense kubwaa hasaa sioni vizuri wala sio uongo naukaribia upofuuu mjue. Bila miwani hata chooni sifiki.
Kiufupi tu mimi ni Average Joe, X seminarian. All my life all i wanted was to serve God on the alter by becomming a priest. Nimesoma seminary sanaaa maisha yangu yooote nimemalizia seminary. Nimepata madaraja ya kiroho mpaka daraja la ushemasi, tena shemasi wa shirika, bora jimbo unaweza kuchakachua ila shirika ni kazi nzitooo sanaaa.
To be honest mimi kwetu niko peke yangu, mtoto mmoja wa dawa kwa baba na mama. Sasa njia nilioichagua kiukweli haikwenda vizuri na mzee wangu, maana alikuwa mfanya biashara mwenye uwezo sanaa, na lengo haswaa la kunipeleka seminary ni nikanyonye tu ile elimu na descipline afu baasi baadae huku nije kuchepukia kwenye vyuo vya kawaida. Mwenzie nikanogewa.
Tukaanza kuwa na mawasiliano mabaya siku mpaka siku, ikafika stage anatishia kuniachia laana kama nisiporudi kuendeleza ukoo, sio lazima kila mtu awe padri, wengine waliozaliwa 10 kwao wataenda mimi nibaki muuni, nikishindwa basi hata mlei au padri muhuniii anachotaka nizae watoto baaas uzao wake uendelee. Mmmmmh!
Everything baina yetu took a toil on my moms health, akafariki na pressure. With mother gone mzee nae akawa kama kavurugwaaa vibaya mnoo. He was beyond disapointed kwa kweli and you wont belive he blamed me for moms passing. Msibani hakunisemesha kabisaaa kabisaaa. Na akatangaza luacha dini kabisaa na kuacha wosia akifa asizikwe na padri wala shemasi wala katekista wala nini. Yeye ni mpagani. Na anasema kabisa nikifa silaumiwe mtu wala ugonjwa ila mwanangu Leonard ndo mchawi wanguuu.
Ukoo ukakaa na kuniita na kuniambia sio lazima umtumikie Mungu kwa kuwa padri, unaweza kumtumikia kivingine. Mzee wako hayuko vizuri na Mzee ndo mungu wako wa duniani unaemuona unamfanya hivooo unategemea nini kwa mfanoo? Fanya urudi. Na bora urudi mwenyewe maana sidhani kama utapewa daraja hilo na hii beef na mzee sidhani sababu hajaridhia. We rudiii, huyu mzee ana miaka mingapi kwani? Akitangulia dunia yako chaguo ni lako utarudi tena ulipoishia.
Sikukubali kirahisi kabisaaa hilo swalaaa. My mind was set and thats it. Mimi ni mtu wa msimamooo msinichukulie poa, nikiamua kitu changu nimeamua. Hamuwezi amini wakani extend duration ya ushemasi nikasema sitokiii humuu ngo mara 3. Then it struck me hawatokaaa wanipe daraja la upadrisho. The Roman bureaucracy. Kwanza mzee acha ji declare mpagani hivo na mimi tayari mtoto wa mpagani. Nilivurugika sio kidogooo.
Nikaanza kuwa mlevi na mkorofiii shirikaniii. Sihudhurii ibada wala nini, nakunywaa, naongea nachoataka against kabisaa na nidhamu za mission. Sisali. Walinivumilia cause they felt sorry for me somehow. Final straw was kuanza kuikosoa bibilia na question misingi mizima ya Vatican. Hayawi hayawi yakatimia ikaja barua kutoka Ujerumani kwenye makao makuu ya shirika letu kwamba wanasikitika kuniterminate, na wana ni strip all tittles nilizo earn kwa kosa la continuous blasphemy, detoriarating faith and showing signs of pagan ideologies. Wakanishukuru kwa muda wote na kunitakia maisha mema.
Niliumiiiiaaa rohoooo, niliumiaaaa, niliumiaaaa. Kuna mda unajiambia uko tayari kwa jambo flani afu likitokea unajua hukuwa tayari hata kidogo, hata robo ya matayarisho hukuwa umefikaa. Cha ajabu baada ya hio barua, sikufanya fujooo kama ilivotarajiwaaa, sikulewa siku hiooo mpaka wakahisi au naenda kujinyonga nini. Nilitakiwa by kesho saa 4 nisionekane tena eneo la mission.
Sikuwa na vitu vingi ,aana kwa kuwa shemasi tayari nilikiwa nashindia zile kanzu. Kesho nikaamka asubuhi, na kuingia kanisani wakwanza kabla ya misa ya alfajiri na kusemeza na Baba yangu aliejuuu. Inshort nilienda kuaga maana nilisema mimi kwenda tena kanisaniii sio mimi. Na sijaenda mpaka leo hiii. Napita tu nje. Ila Mzee sikuhizi ndo kila siku anaenda kanisani kila siku iendayo kwa Mungu kutubu na kuomba msamaha kwamba amekosa sanaa kunikatalia kumtumikia Mungu maana kama kakosa vyote vile. Ananomba mpaka namuhurumia.
Saa 4, nikamfata baba mlezi wa shirika na kumuaga, akajitahidi kuwa modest haya maisha tu, mambo yanatokea, nisimuache Mungu mifano ya biblia kede kede na kwamba kama imeshindikana shirikani still naweza kuwa padri kupitia jimbo nisikatishe ndoto hizo. Nikamwambia niko tayari kurudi uraiani. Kuna maisha nje ya mission. Akamwambia dreva anipeleke mpaka kwetu ahakikishe ananikabidhi kwa mzee.
Kumbe nae washampa taarifa, nikamkuta, nikapita sebuleni nikakaaa kwenye kochi, tukaka kama masaa ma 3 hatusemeshani. Akapiga simu zake, akaja binamu yangu akaniambia naenda mjini mtalaa hapa na cousin wako. Nikamsikia anamwambia he looks suicidal usimuache peke yake hata sekunde moja, akienda chooni uhesabu dakika akichelewa vunja mlango.
Cousin ananiuliza eti Leo unataka kujiuaaa? Usijiue wala nini mwanangu kuna mademuuuu wakali mtaani ni balaaa! Niamini mimi mwanao kule ulikuwa unajipotezaaa tu. Huku ndo mambo yoteee. Mademu wamepindaa hata ukitaka makalio wanakupa bureee si ndo mambo yenu seminary? Mimi nikabaki namtazama tu, sikuwa na la kusemaaa. Niseme nini ndugu msomaji na ndo kwanzaaa nawasili ghomoraaa na sodoma.
Akaleta bia 2 pale basi ananisimua it was more like anaongea mwenyewe but he didnt care, anaongea tu endless. Katika story zoote alizoongea hakuna yenye akili wala manufaa hata nukta. What i learned he was wasting his life on boose and women and it looked like we could be friends. Very good friends. Nikataka kusema kitu but i just couldnt.
Akaniambia mwanagu twende tukakiwashe ndo midaa yenyewe hiii. Mi nikanyanyuka tu kumfata nyuma. Tukaanza bar kwanza kila mtu anamjua cousin. Tukagidaa maji pale, kukawa na watoto wazuriii wazuriii wabichiiii teke teke afu wenge kinomaaa. Akanipa mmoja wa kukata kiu kwanza.
Baadae ananiambia cousin we umetoka seminary leo huna hata 100, hapa vyuma vimekazaa hela ya room 2 mi sinaaa, sisi wote wanaume kama vipi nachukua chumba kimojaa tunalala wote wa 4 humo humo we na wako na mie na wako. Design nikimuelewa wako zaidii au ukimuelewa wangu collabo pia ruksaaa. Kiukweli nilitaka kukataaa katu katu, dhambi kubwa sanaa hizoo. Jamani kufukuzwa seminary sio kufukuzwa peponiii, nisingewezaaa. Ila sasa sina kaulii. Yaani siwezi kuongeaaa. Sio najifanyisha siweziiii. Nimekata kauli. Nikabakia tu natingisha kichwa. Cousin ananiambia kumbe we padri firauni tuuu ndo mambo yako hayaa hata kukataaa na kukemea unabakia kutingisha kichwa kama msengery baridi tu. Kwanza ushawahi kufanya haya mambo usije nitia aibu? Nikatikisa kichwa sijawahi! Akasema bwanaa weeee kipofu hakosei mdomo wake hata siku moja utachomekaaa tu huko huko mbele kwa mbele. Mradi ulifanyiwa sunnah yatajiset ukielemewa nipo nitakusaidia, nihimili mpaka wanawake wa 3 nini wa 2. Nalipia chumba usinizingue ujue.
Alivoenda kulipia chumba tu nikapata mwanya na kutoroka nafika nje nakumbuka funguo anazo yeye, na nauli sinaa. Pesa zipo kwenye begi. Akaja akanikuta kwenye gari nje nangaaa sharubuuu. He was concerned. Mwanangu wewe una miaka 34 hujawahi tia demu ujue sio kitu kizuri kabisaa, najua una kitete, umeruka stage nyingi sana za maishaaa, una mambo mengi ya ku catch up ndo maana mimi nduguyo sitaki uharibikiwe najaribu kukupa course crush progrm. We jikaze twende yule demu nimekupakwa kadogo dogo mwili wake haukutishiiii, afu katundu katasimamia show yoote, wewe usimuoneshe hujuihaya mabo pitamo tu humo humo. Isitoshe mi nipo hapo hapo chumbani siwezi kukuacha uadhirikeee. Wasi wasi toa. Akanishika mkono twende wale mademu wako room tayariii.
It was my first time kiukweli, wako watumishi hawajibani wanajilia vinono ila sio mimi. Nimefika mule nawaza nitaweza kweliii mimi? Maana nasikia mambo ya kilele, uvinza, mambo mengii na kote huko mimi mgeni afu niko na pro lenyewe la umaluuni pembeni au kama vipi nideseee kwa mzee baba? Kichwa ikawa inanienda race.
Nimefika vitoto viko bwaxxx na cousin kavipasulia kete za cocaine visha sniff vimemependezaje sasa hatariii tupu. Dushe na K ni smaku za hasi na chanya. Mpaka naingia cousin alikuwa ananifosiii tu. Ila kuwaona wale watoto wako uchi mwenyewe nikaingia kingi. Nikaanza kuwaza hata mimi kuwala wote sio ishu wala nini. Nawamudu vile vile. Cousin akaniambia we mgeni hapa chagua wa kwanza. Nikwaangalia wote wako level! Mmoja ana churaaa ya hatariii. Nikawaza nisijfunze kuendesha na semitrella ngoja nianze na kibasmat kwanzaa. Nisije kuvunja engine buree kungangania mizigo mikubwa.
Kilichonipa comfidence mtoto yuko bwaxxx na yuko alostooo hawezi kuona flop zangu, bonge moja ya uwanja wa mazoezi. Mtoto mwenyewe anajiongeazaa, sikupata tabu kwa kweli kabisaa. Sema nimepiga show moja tu na kuonja ladha ya dunia, kikazimaaa kitoto. Pombe na unga vilimzidiii. Cousin ananiambia endelea kivyako ila sikuwezaaa.
Tumerudi nyumbani asubuhiii hoiii, mwepesiiii kama sio mimi. Nilivo mjinga nika fall in love na yule malaya hamuwezi amini. Nikawa na mipango nae kibaoooo. Nikaamua kabisaa nimuoe nimfanye mke kabisaa. Nizae nae kabisaaa. Hahahaaa! Kuonja uchi tu kosaaa. Bado nikawa siwezi kusemaa.
Asubuhi cousin anajibizana na mzee ndo nini kukesha mpaka asubuhi? Anamwambia huyu Leo anataka kujiua uncle mimi nampoteza maawazooo. Bado yuko mission ujue, sasa ndo namsahaulisha maisha yale. Wewe sio ujilalamshe uncle tumiminie pesaaa, tulewe zaidiii na kulala ziaidi na wanawake wengi zaidiii mi nakwambia uncle wiki ndefu utaletewa mimba kama 10. Mwenyewe utakuwa humtakiiii huyu mwanao kwa kuzaa. Baba akajaa na kumpa kitita cha pesaa.
Mi naona mida haifikiii kwanza nikamuone yule mrembo, nimuulize jina lake, nige nae story, nimjue ni nani, tena nimrudishe kwenye mstari aache unga na pombe. Kufika nikakuta yuko na mwanaume mwingine, nilipanic sio kwa uchi wa jana. Kusema siweziii. Nikachukua simu na kuandika meseji kwa cousin, namtaka yule yule mwanamke wa jana. Cousin ananishauri achana nae, kwanza hana nyamaa, wa nini, hawa wote malaya tu hawana tofautiii. Natikisa kichwa tu. Cousin akachukiaaa, ila akaamua kwenda kwa yule mwanaume kumpandia dau aturudishie malaya wetu. Uzuri pesa si alipewa na mzee. Mwanaume kataka laki 5 ndo amuachie yule demu. Lumbana lumbana mwisho akapewa tu hio pesa. Demu anajionea sawa tu.
Hamjui roho yangu ilivofurahi kupewa yule demu. Niko nae chumbani namuona kama malkia vile. Nikamuandikia kwenye simu unaitwa nani? Akajibu Ziada. Likanijia swala dini tofauti nikakumbuka kwanza mimi mpagani. Akaniandikia sms kwani wewe bubu na kiziwi? Nikamjibu hapana ila siwezi kuongea kwasasa naumwa. Akauliza unaumwa nini? Nikamjibu nimerogwa cause sikuwa nanjibu logical. Akasema nikiongea unasiki? Nikamjibu ndio. Basi namuandikia swali ananijibuuu.
Show ikaanza babake mwanafunzi goi goi vs professional changu. Hapo asha snort unga wa kutosha. Akajaribu kunikaribisha na mimi nikamwambia naumwa. Raha nilizokuwa nakumbuka jana cha mtoto. Za leo siju tamu zaidiii. Mambo yalinogaaa sanaaa. Nikasema hapa hapa namwambia kama vipi nimuoe tuuu niwe napata kutwa mara 10.
Kabla sijamuomba kumuoa hapo tushapiga round kama 4 tuko hoiii, akasema ningekuona wewe mapemaa ningekupenda wewe na tungeoana ila tumechelewa kujuanaa, nishachukuliwa. Khaaaaa! Sikuelewaaa. Nikamuuliza mbona unajiuzaa kama umechukuliwa? Akaniuliz mbona na wewe unanunua malaya kama msafi sanaaa. Nikajikosha kumuandikia sio kwa ubaya, mi nataka nikuchukue nikubadilishie maishaa.
Akasema haiwezekani, tumekutana mda mbaya. Na snort sanaa coke ili nipate nguvu ya kufanya hayaa. Mimi mtu naejielewa hatarii sema maisha tu yamenila kibogaaa. The love of my life baba wa mwanangu kafungwa jela SA kwa kesi ya unga, najiuza uza nipate hela nikamlipie fine atoke. Tunapendana sanaa, sanaa. Tuna mtoto mmoja wa kiumeee. Akachukua simu ananionesha picha zao.
Nilirojeka maini yoote. Kupenda kulikula kwanguuu. Mambo ndo nimeyajua afu ugumu ndo kuanza hapo hapo aaaaaaaah! Sikuwa na hamuuu kabisaaa. Kesho nikamwambia cousin kile kiwanja tusiende tenaaa. Sitaki kumuona Ziada. Sitakiiii. Akasema usiwaze viwanja vipo vya kutoshaaa.
Nilibadili wanawake kama wa 4 ila hakuna kama Ziada, hakunaaa. Nikaanza kupata uchizi nikiwaza mwanamke naemtaka anajiuzaaa. Afu bei che tu. Nikajikuta namfata pale, akafurahi kuniona mteja wake akasema sijakuona mda. Ashanijulia siongei. Ananipa simu niandike. Nikaingia nae chumbani japo haikuwa nia yangu kabisaa. Nikala na mzigooo kwanza. Baadae nikamuuliza kwani mzazi mwenzio anadaiwa bei gani huko SA. Akasema $10,000. Nikamuuliza unazo ngapi? Akasema anazo $3000 bado 7000 na nauli na nini kama $8000.Nikarudi home sikumwambia cousin kama nimeenda kwa Ziada wala nini.
Kesho asubuhi nikamkuta mzee anakunywa chai, nikataka kumuandikia sms naomba pesa, nikahisi sauti imerudi. Nikamwambia tu kwa mdomo naomba pesa kidogo. Akasema bei gani nikamwambia $10,000. Akastukaa za nini? Nikamwambia nataka nifanye business moja. Akaniambia niandikie mchanganuo kama iko viable nitakupa we mwanangu siwezi kikunyima. Nikawaza fasta fasta nikamwambia kama hunipi leo hii hii mguu mguu kwa bank basi najiua. Ijue nguvu ya uchi. Akatetemeka. Akasema sawa nakupa twende bank ila hio biashara jioni nataka kuijua. Tukaongozana bank, akanitolea na kwenda kwenye mambo yake. Sababu ni $ sio bulk kama tsh. Nikaziweka kwenye bag la mgongoni na kwenda kwa Zidah!
Nikampigia simj kwanza akapokea na kumwambia mimi yule kaka wa jana, akasema yule kaka bubu bwana hasemi we utakuwa binamu yak mfilajii nishakwambia michezo hio sitakiii wafanyie hao hao. Haaaaa! Nikamwambia zidah ni mimi bwanaa. Nimepona leo. Akasema sababu umeniita Zidah ni wewe yule mfilaji shule hajaenda anaita Ziadaaa. Njoo nimekumiss dear, hata usinilipe tupige tu story nitakupa bonus match. Walau you care abt me tofauti na wengineo wote. Nikamwambia njoo hotel ya mjini.
Akaja nikala kwanza mzigo na kumpa ile pesa. Alidataaa akaliaa machoziii. Naenda rehab mimi naacha unga, naacha pombe hakika Mungu nimeuona uso wako. Mteja wa kunichukua mimi kahaba anipe $$$8000? Mungu huyu ni wewe umjidhihirisha kwamba hujatuacha. Kajimimina hatariiii. Akajiapiza kuzilipa zile pesaa. Nikamwambia sio deni just want you to be happy with the love of your life and your son. Alilia mda mrefu sanaa.
Akaaga na kwenda south week hio hio. Story ikasambaa mji mzimaaa. Leo kamhonga malaya $8000 nikawa nasakwaaa mimi kama kaka kuonaaa. Story zikafika kwa mzee. Hakusema kitu zaidi alioga na kwenda kanisani misa ya kwanza after so many years za kujitangaza mpagani.
Zidah akanitumia picha yake mtoto na basha wake washamtoa jela. Akaniambia wanaenda Botswana kujaribu maisha kwanza. Nikawa nimebaki huku mpweke. Bado nampenda Zidah. Huku nimewekwa most wanted man katika malaya wote wa Arusha. Cousin akaniambia twende Dar. Kuna tenda nimepata ya u contractor kule nitakaa hata 2 years tukaliamshe dude.
Haoooo mpaka Dar, chama la wana ndani ya dsm.