Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Watu wananyoosheana koplo tu...

Wanaume tusivyopenda ukweli tutajifanya hatumuoni Leo goigoi...[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaniiii! Nimerudiiii! Niliumwa mwenzenuuuu msicheze na migonjwa ya kuzoa zoa nchi za watu haisikii dawa za nchini humu. Nashukuru Mungu aliejuaa sasa nimeponaaa kabisaa kabisaaa. Mkae mkao wa kuingia 2018 na dude hiliii taratibuuuuuu! Kwa hasira naanza usiku huu huu
Pole na kuumwa
 
Pole mnooo dear
 
Jamani ndo nimekaa hapa fanani, na kalamu yangu naanda mkeka wa kulalia.
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]

Tunasubiri.

Ukiingia mitini inabidi ukatubu kama Pogba!
 
Back
Top Bottom