Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Mjeda heshima yako popote ulipo nakusalimia tu mimi


Lara 1 kamtuliza mjeda hapo hapo kwa makusudi kwa sababu mimi nina kazi nae bado weekend hii. Yaanj navusha balaa masai wangu ananishangaa hanielewi kabisaa
 
Hii episode inawafurahisha tu wazinzi.
lara 1 ulisema umeokoka na hata avatar yako inasadifu hilo. Lete story za kumtukuza Bwana atleast nawe utabarikiwa maana episodes zako nyingi ni zakumtukuza Lucifer na jeshi lake.
 
Back
Top Bottom