Weekend story! BEN 10

Kwan mnamlipaga acha afanye mbishe zingine za kumuingizia kinywaji chake pendwa , tho nilitaka kujua tu lara 1 ktk story zako uwa unatumia muda gani ku type, je uwa unaziandika somewhere katika ( diary ) au uwa unatoa kichwani?
 
Lara1 anakera wakati mwingine....
Imagine toka january kapotea hadi leo hajatokeaa unakera we dada...
Hakiii siku nakuona kariakoo nakupopoa na mayai viza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom