WoyooooMuwe Wapole! Story itaisha! Lini Anajua maulana! Nimerejea! Nilikuwa busy Sana! Sasa nipo nje ya nachi usiku sina usingizi ni kuwala viboga tu! Twendeni kazi
Naomba samareHahahah unamtafutia mwanaume mwenzie unatulia tu
Thawa mamaKuna Tatizo kidogo hii simu nikiandika inabadili maneno na nayotumiaga ina ishu kidogo Kuliko niandike msome msielewe tufafanye Kesho nawahakikishia story itakuja
yaaan ninefufuka mumy nimerudi ndio nakutana nachoNgoja nikumbuke wadau Cecilia wherayuu?? njoo ona mambo ya Ben 10 hukuu