Weekend story! BEN 10

Dah, umenikumbusha mbali kweli....asante lara 1
 
Wanaume wa kiarusha sijui kwanini hawako romantic.
 
Daaah kweli sam ni chalii ya chugamaican

Mwana hana makeke sana

Lara 1 stori malizia aisee ukiiacha njiani nakusema kwa anko " koroshow"
 
Sikutaka ligi. Nikamsalimia, nikamuuliza hii game if thrones season ngapi? Akasema 5, Nikaa wote tunatazama. Badae akaenda kupakua msosi, na mimi nikaenda kupakua. Kimya tunacheki Tv. Chombo kamaliza kakiacha pale pale. Mimi ndo bigger man, nikatoa changu na chake, akastukaa. Akasema broo nitakipeleka mwenywe. Nikamwambia acha tu nikutolee. Nikaenda kuviosha.

Saa 11, akaenda kuoga, akaniaga bro nina show, ukitaka kuondoka kama dada hajaa funguo weka chini ya ua. Nikamwambia poa haina noma mwanangu. Mtoto mkavuuu yuleee...

Huu ukauzu wa kujitoa mhanga kabisa...
 
kudaaaaadeck!SIPENDI KUQOUTE STORY !ILA HII ACHA TU NIKERE WATU!
lara 1 kmanina zako!
umefanya nimpigie mtu simu sa hiz!
na nilishanuna misiku kibao!
AHSANTE KWA KURUDI ILA SHWAAAIN ZAKO!
 
Huyo dogo mbongo fleva watamu Amber Ruty
Sio muda...***** zake
 
Kuna watu wangese kweli... sa ku-qoute story nzima kutujazia server ndo nini ?! Ungese tu
 
Baada ya kusoma story ya Sam nimegundua uyo Kylie anazingua balaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…