Weekend story! BEN 10

Dah...!! Wanawake wa mjini mnaakili. Natamani nirudi kiben 10.
 
Ila ghost nilichogundua akiwa anawatia Hawa mademu huwa anawatia kihuni yaani anaisambaza K yote alafu anaanza kuipanga upya ndiomana madem wanamkubali
Ghost hana mpya..anabadili matoleo tuu akomae na mmoja aone ka hajachokwa asbh tu
 
Wanasema behind everu sucessful man there is a woman behind! Wala si uongo aisee! Wake zetu ndo wana determine nani utakuwa nani katika maisha! Mimi nililijua hili mapema sanaa sp nikawa very careful naoa wapi na namuoa nani!

Mimi sina mama nimelelewa na mama wa kambo! Alinitesaaa sanaaa sanaaaa! Ndo ameniharibia confidence yangu moja kwa moja! Baba alokiwa anajua nateswa ila hakusema kitu! Na mimi nikazoea kuteswa!

Niliokoka mdogo sana katika kitafuta faraja nilio ikosa nyumbani, nikajilea katika misingi ya kanisa! Nikafanikiwa kusoma sheria! Nilisoma sheria sababu ya kukosa haki za msingi na kukosa mtetezi!

Mungu mkubwa nimemaliza chuo mzee akanitafutia kazi ya kwanza Breweries kama mwanasheria ilikuwa bonge moja ya kazi sababu za kiimani sikuweza kwenda! Alighafirika sana! Akanitafutia sigara pia sikuweza kwenda sababu za kiimani! Akanisusa mbele ya ukoo. Akanifukuza nyumbani.

Nikaenda kupanga uswahilini, baba yangu ana uwezo sana! Maana ni boss mkubwa sanaa wa TRA! Sikufanikiwa kupata kazi nikawa nafanya kazi za kanisa zaidi! Kwenda kuona wafungwa na kuwapelekea msaada wa kisheria.

Kimuonekano mimi ni mzuri sanaa tena sanaa! Mpaka mama wa kambo ana mdogo wake alikuwa kafa kaoza juu yangu ndo kuzodosha chuki ya bi mkubwa! Kanisani kwenyewe tafrani!

Watu wana kasumba mwanaume ukiwa mzuri maisha umeyapatia aaa wapi! Yule mhenga aliese!a mwanaume mashine ni muongo, mwanaume pesa baba sura hata mbuzi anayo!

Wanawake wanapenda wanaume wazuri kwa mda mfupi baadae expectations za pesa zinarudi pale pale! Na wanawake wanapenda mambo makubwaaa! Na mimi vikibwa sina! Nipo duniani kama mimimaybe na kanisa baaas!

Kumpenda Kyle kweli nilimpenda sababu alikuwa mdada na maisha yake anajielewa na ana upendo! Ila hakunipenda! Nikakubali matokeo! Mozah nklikuwa namuona wale wanawake wa kunataaa sanaaaa! Sanaaaa! Nikajiepusha nae kabisaa!

Siku napita kuhubiri dukani kwake sikuwa najua kama ndo dukani kwake! Nikamfanyia ibada mpaka nyumbani aka iomba nikae nao kidogo! Ofcpurse nilikuwa naishi kwenye chumba cha giza! Nilikubali kutoa msaada kidini na kwake palikuwa pazuri!

Nimekaa na Mozah six month haniulizi unafanya nini, unaingiza shingi ngapi,unatokakwenda wapi! She was very simple minded! Hathamini kitu kivilee! Na ndo alianza kunipa motooo fungua kanisaa, fungua kanisaa! The way she was talking about kama kitu chepesi! Na mimi nikaanza kuona mwanga juu ya hilo!

Navoishi kwake ndo nikaanza kumpenda ule usimpo wakena kuona urahisi wa kuishi nae na mchango wake chanya kwenye uwezo wangu wa kufikiri! Akakubali tukafunga ndoa! Hamna ndugu wa upande wa baba alietokea na upande wa mama walikuja sijui wawili! And she was not concerned!

Kila kitu cha harusi alinunua mwenyewe! Kila kitu! Gharama zote aliingia mwenyewe! Mpaka suti ya harusi! Na harusi yangu ilikuwa kubwa sanaa tu! Sanaaa! And she waa always pushing me to be the best i could be!

Nimemwambia naenda kusoma uchungaji akasema kama ni kuja kufungua kanisa basi sawa! She is always thinking big, she is always one syep ahead! Even now in the church she is making more money than me ndugu msomaji!

Hata mambo yakiwa at its worst hakati tamaa! Hata siku moja! She is always positive, always on her next move! Kwa kuwa nae nimefika mbali sanaa! Sokuwa kutegemea kama nitakuja kigika huku!

Sasa baba yangu ananipigia simu, anakuja nyumbani kuona wajukuu,anakuja kanisani kwangu! After everything ndugu msomaji? Si tunafanya mambo makubwa! Tunaha!isha milima! Ile semina ya TD Jakes niliogopa ila kina Mozahnamba zongine zile! Wakaingiza million 70 paaaap!

Nacho sikitika ni Mozah hajampokea Mungu rohoni! Tamaa yake ya pesa ni kibwa sanaa! Namuombea kila soku apewe kibali cha kujua Mungu ni zaido ya pesana mali! Namuombea sanaaa!

Our marriage life naweza sema sio mbaya sanaa, we have 4 kids wangu wa 2! Changamoto zipo ila ndogo ndogo na mimi nina Mungu sanaa so najishusha sanaaa! Namuachia ashinde yeye kwa hio tunaenda sawa! Kikubwa tunape dana na kuheshimiana ana ni support kwenye kufika ndoto zangu siwezi kulalamika ndugu msomaji! Kama mke jembe nimepata tractor!

Changamoto kanisani pia ni kubwa sanaa! Nazimidu kimtindo kama nilivosema mimi nina Mungu! Kama yule mtotomke wangu anaemhisi kanisumbua sanaaa! Sema tu sio type zangu! Kana njaa sana! Nisingeweza maana najua nitajikita front page! Mchungaji akwaa scandal ya kuzini!

Kimbembe huyu meneja wa bank! Daaaaah! Acha tu ndugu msomaji! Kwanza kisu cha hatariiiiii! Anaendesha Murano! Ana gari nyingi! Ananiambia anpewaga bonus kila mwisho wa mwaka kama million 300! Alileta fungu la 10 million 30 ndugu msomaji! Cash money! Ana takooo kwa nyie wasomaji wa kiume wenye michezo hio! Mimi mtumishi tako sio muhimu sanaa na ukimlinganisha na Mozah mke wangu ana tako kubwa zaidi! She is extra bright!

Nimemuona nikasema shetaniiii nipunguzie doziii mtumishi! Nikajua sio kipozeo atakuwa na principles zake na ethics acha dignity bila kusahau integrity! Kaniita kwake nikafanye huduma!

Huku na huku kaanza kunipa mate, wasomaji mnikome mtumishi nae mtu, nikaonja kidogo tu! Sunaah inaitwa! Bwanaaaaa! Wacha ninogewe! Mdada mtamuuu balaa! Ikawa kawaida yetu sasa! Nimenogewa na yeye kanogewa!

Kuja kujua kichwani yupo smart zaidoya Mozah! She was talking about big churches kukodi eneo kama Masaki huko! Mambo makubwa kama hayo! Daaaah! Namwambia sina uwezo! Ananiambia anaweza kuniunganisha nikafungua akaunti ya kanisa bank kwao, nikawa naweka deposits na atanifanyia mpango nikopeshwe One Billion!

Nikampanga Mozah tuhame bank akagoma kusikia One B akakubali fasta! Tukawa tunaweka savings kwa hio account! Na process ya One B loan ikawa imeanza kama alivoahidi!

Nikaenda marekani nae, kwa alivoniambia hana mume, ana mtoto tu mmoja! Wa kike! Ndo tulitakiwa kwenda nae USA ila hakuja nae! Tofauti na single moms wengine hataki maombi ya ndoa! Apate mume sijui akhaaa! Anataka kuombewa awe directoe wa bank! Au biashara zake hivo! Ndoa hana mcheche nayo kabisaa!

I fell foe this girl! Tungekuwa waislamu ninge mtwanga Mozah talaka 3 kamili siachi deni! Sema sasa ndo wakrito na wanangu nawapenda sanaaa! Ndo nikaanza kuelewa kwanini nilivokuwa nanyanyaswa na mama baba hakuwa akisema kitu! Its complicated i got his point!

Baada ya USA na mavagi tukakubaliana aache kuja kanisani,nikamuomba Mozah msamaha wa uongo na kweli for the sake of the church for appearances na mambo kama hayo! Akakubali! Ila akashtuka tunaendelea sema ushahidi ndo ukakosekana!

Nikawa naendelea nae, ndugu msomajinaachaje One B? Ofcourse pia alikuwa mtamu sanaa huyu bi mkubwa! And we were soul mates!Mpaka nikaanza kumuomba anizalie! Nambembeleza kabisaa!

Nikaacha kumkataza Kyle kupanda madhabahuni sababu ya zinaa, maana na mie nikawa kubwa la zinaa! Kila mtu anapanda na janaba lake! Nikajitahidi nikifika kwa wife natoa show za kibabe ili tu asistuke kabisaa!

Siku akafuma sms wife ya yule dada! Nikampooza yeye ndo ananitaka mimi sitaki mpaka kanisa i nimemfukuza nifanyaje sasa? Mozah akasema nitafunga usiku na mchana mwezi mzima kumuomba Mungu akuumbue mbele za kanisa lako na kondoo wako! Nikamua dua ya kuku haiwezi kunipata mwewe!

Ghost akawa ananivuruga na kanosa lake sanaa! Ghost ana mtaji mkubwa! Ghost hustler! Ghost mpambanaji sanaa! That is why i needed that one billion kwa namna yoyote! Ili ku survive competition lazima mtaji ulikuwa upite kati kati!

Mozah akawa kabeba mimba kibahati mbaya hatukupanga ila hakufurahi! Nikamkomalia haina jinsi lazima azae, akaleta makarateka mimba imeharibika ila nilijua kaitoa! Aliniboaaaa sio kitoto! Sikusema kitu chochote!

Siku hio nikiwa na baby wangu Bank manager tunajiachia hotel,chumba kikagongwa! Nikajua mishkaki imeletwa! Kufungua kundi la watu wana camera za videona wamkuja na padri yule sijui kateksta! Moja kwa moja nikajua Mozah katufamania! Mozah nammudu tamaa yake ya pesa hawezi kuwa stupid!

Naona mwenzangu anatetemeka anaita mume wangu nisamehe! Mume wangu sitorudia tena! Nikajua nimekwiaha! Namuuliza Mume????? Mume akasema ndio mume alikwambia hajaolewa? Nikasema yeah! Akaniambia sasa ndo mke wa mtu! Alikuwa! Leo nakukabidhi rasmi! Katekisstaanza maombi hapo!

Picha zikapigiwa na video juu! Maombi kama yote,mume akanikabidhi rasmiii mke! Niliganda kama nyamafuuu! Wakaondoka! Wachaga watu wastarabu sanaa sio washamba wa K! Nikarudi kwangu siamini amini kilichojiri!

Nikakaa kimya! Nilitaka kumwambia Mozah nikaamua nimuombe tu Mungu kikombe hiki kiniepuke ikimpendeza! Nilisali sala zooote! Ikapita wiki salama! Ikaiaha ya pili! Nikajua nimepenyaa! Nikaanza kurejea uchangamfu wangu!

Wiki ya 4 nimeenda kanisani kila mtu kashika gazeti! Hamna bwana Asifiwe wala nini kavu kavu! Nikaingia ofisini! Dada Betty aka iletea gazeti! Mwana wani niko front page guest kule! Pichaza fumanizi kama zote! Mmm!!!mhhnn! Nikamuuliza Mozah kaliona gazeti? Akasema ndio! Nikamuuliza ikawaje? Hakujibu! Akatoka nje!

ITAENDELEA
 
Duh! Pastor, Yan kachepuka na demu mmoja tu kakamatwa
ila siamini Kama ni moza ndo kamfanyizia, Atakuwa Ghost huyo
 
kweli kwa Mungu tutaenda kwa neema, mlokole kafumaniwa!!!?
 
Fanani pliiiiiiiiiz tunamuomba Sam maana nimeshindwa kumuweka kwenye kundi la vilaza au viazi...
 
Haha haa .. sam jinga sana ..hahaaa daahh
 
Haha Aisee ..kweli ngono sio kitu cha mchezo mchezo .. dua la kuku limempata mwewe ...kanisa litakufa hilo
 
Kanisa kushnei..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…