Weekend story! BEN 10

Kuradhi!

Kutokana na maombi niliyoyaanza sasa hivi nitashindwa kuendelea kuwaletea story hii! Naomba radhi sanaa! Story hii ku keep originality ina upuuzi wa hatari na hainakisi maombi haya crucial kwa maisha yangu!

Panapo majaliwa nitawaleeteni story zingine yenye utukufu!

Mtakao nitukana please feel free! I understand ! I am truly sorry imebidi tuishie hapa!

Nawapenda sana

Lara
 
Naomba niuzie mimi hiyo story yote!mimi ntaendelea kuwashushia wadau hapa!

Tukuache wewe uendelee na maombi,mimi nimejitolea kuchomwa kwa niaba yao!
 
Maombi mema mama mtumishi narudi na tusi la kukutukana
 
Stimu zishakata
 

Respect and appreciations.

Mimi binafsi nakuombea pia, maombi yako yasikilizwe upate kile unachokiomba.

Shukrani sana lara 1, kuna kitu nimejifunza kwenze story zako nilizozisoma (3 kutoka mwisho na hii ikiwemo), niko pia nafanyia kazi vitu hivyo, hope vitaleta matunda na Mungu jalia nitakutafuta kutoa ushuhuda.

Very inspirational, keep going lara 1.

All is well, all is well, all is well.
 
Ombeni nanyi mtapewa....kila la kheri mtumshi!
 
MALAIKA GABRIEL MWENYEWE NAJUA ALIKUWA ANASOMA HII STORY!!


FANANI HUNA DHAMBI!
YOTE YAMESHALIPWA !!
 
Asante Lara, najua lazima January utatuletea dude la kufungulia mwaka,
Kila la kheri kwako.
 
Unajua ukweli mkuu hakuna bwana hata kutukana siwezi

Sawa, mimi hasira zimeniisha aliposema kuna maombi anafanya kwa ajili ya maisha yake. Nimejikuta natamani kujiunga naye tu kwenye maombi.
 
Sawa fanani si umeamua kunila kiboga....nasubiri unile na kwa Ghost maana toka mwanzo team G
 
Fanani nyoko zako...... kwahiyo ulikuwa unatuambia tunyoe na tuandae vaseline ndio hiki kiboga chenyewe ulichotaka kutula??!!!
 
Mungu akushushie mkono wake wa baraka na asikie maombi yako!!

Ila fanya kuniunganisha na Ghost nikamalizane naye nijue yaliyomo yamo kweli πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰
 
Daaah Lara wewe
....
Sema swala la maombi sio la mzaha..tukikutusi tutajibebea milaana ya nyuia bure..sema i appreciate u babe n u know that..level zako viwango kinoma gal..mastory ka holywood
 
Imeniuma!,Ila sawa tuu.
Asante sana Lara,unaweza sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…