Mwenza sio you are sure mwandishi si keshasema ghost ndio DeoKyle kayatindiganya mambo alivyoharibu kwa Sam. Kama kuachaba na Sam ndo ulikua mkosi yani. I'm sure mjeda ghost ndo ben10 wake wa kwanza kumpenda. Sasa atammaliza Kyle kirahisi kabisa maana sababu anayo tayari.
Mwenza sio you are sure mwandishi si keshasema ghost ndio Deo
Ni deo lakini hajasema how they relate ukiacha kujuana kituoni.
Kule Jane si kaelezea kuwa wanaume aliowapenda duniani ni Deo na Sam
Ni deo lakini hajasema how they relate ukiacha kujuana kituoni.
Hmm....mbona ghafla ume develop interest na hii hadithi we mama wa mwanangu?
Niliitwa ‘baba’ ujue....
Baba mtoto majina ya wahusika yamenivuta zaidi. Hahahahaaa. Kama unione ninavyocheka hapa
Hahahaaa.
Naona weekend itakuwa imeanza vizuri kwa upande wako!!!!
Kila mtu ana Deo wake Maishani....
Na Jane wake hahahaKila mtu ana Deo wake Maishani....
Sasa kazi kwa mjeda Deo first love au Sam last love haha..Kila mtu ana Deo wake Maishani....
Yaani alivyosema amarula ikitumwa mapema ataweka episode tatu nilitamani kukukopa hata huko Tala amarula ipatikane!!!! Wanaume humu watakua wanachungulia wana mute,Nyie wanaume humu msitukoseshe utamu wkend hii, Lara alishasema hataki pesa ya mwanamke mwenzie, so kazi kwenu toeni Amarula moja, watu tifurahie wkend