hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,147
- 72,893
Hahaa
Acha uduanzi...njoo unidange Mimi hapa afu shusha stori zito!
Acha uduanzi...njoo unidange Mimi hapa afu shusha stori zito!
Wee nyau " siuende Sea cliff kudanga pakikucha " unajikuta na mihela yote kama umeshinda 3mzuka (kidding) lara unatisha Sana aiseeLeo mjichanganye mapemaaa namba yetu ile ile mtume humu 0652963792 Jina Daudi Mligo. (SIO NAMBA YANGU, SIO MJITIE KUPIGA SIJUI NINI MTAFELI. NI KUTUMA TU PESA YA BIA TU)
NAWAAMBIA MAPEMAAA LEO IJUMAAA! MKICHEZAA STORY HAMNAA! NAENDA ZANGU 4040 MTABAKI WENYEWE! NAWAANDA KISAIKOLOJIA MAPEMAAA! MKIFANYA KWELI MAPEMA SAA 10 TUNAKULA EPISODE NA SAA 3 TUNAKULA EPISODE!
Muongeze na Patrick ck hapo " hicho kichwa ni matataIla Bongo movie wanakera mi sitazamagi kabisa ila kwa huyu mtunzi na kuna jamaa mungine the bold naamini kama wanapata muongozaji filamu safi na wakawekeza kiasi kikubwa cha pesa kwenye uandaaji mbona ni series ya viwango vya hoollywood kabisa. Hata wale wahindi wa Jamal raja hawafikii huu utunzi kabisa.
Dah Laraaaaa upo leo nimepita bahati nzuri nimekuta tagIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story.
Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire.
Kilichonirudisha kuandika story si kingine ni njaa zangu tu, na my one and only sponsor of all times, MAN OF THE PEOPLE (MOTP) nimempiga kizinga sio cha kitoto, alivo firauni ananizungusha zungusha tu. Mpaka nakaribia kususa. Hamna hamna nimejiongeza mjini ya bure salamu tu, nimuandikie bonge moja ya story akiwa in mood nimchune mie.The hustle is real. Jamani wabeba box wote hamnioniii? Mnisambazie ma western union.
I promise hii story nitaimalizia. Kwanza fupi.
BEN 10 NI FIRE!
JAMANI SI KWA MUALIKO HUU! Nimefanya tu sampling ya comments za readers wangu kwenye stpry 3. Kama nimekuruka bahati mbaya. Ila sitopenda mmiss hili vunja jungu
Fanani ashatupiga mchuma mboga ya ubongo kama kawaida yake!
![]()
Upo we mrembo?Fanani hana mana hata robo



Upo we mrembo?
Kwani umekuwa mwalimu wa kiswahili??Hilo neno "mambo" ni wingi au umoja?
![]()
Hapana, nimeogopa tu. Lugha yetu imekua eti.Kwani umekuwa mwalimu wa kiswahili??



Ule mchezo aliofanyiwa Hans nakugeuzia wewe sasa lara 1 .Kila Ijumaa narusha kitu.Sio mnakaa kusifia Sifia TU! Leo mjichanganye mtume humu 0652963792 Jina Daudi Mligo. (SIO NAMBA YANGU, SIO MJITIE KUPIGA SIJUI NINI MTAFELI. NI KUTUMA TU PESA YA BIA! NAKUNYWA AMARULA NA NIKILEWA NAANDIKA MATUSI MPAKA MTAFURAHI NYINYI. NAWALETEA KITU CHA DIRECTOR GHOST! KIMAUU BALAA! MIAMALA IKISOMA NAANZA SASA HIVI KUANDIKA. MKIZINGUA NARUDI JUMATATU.
babe wangu una maneno mazitoBabe nini sasa
babe wangu una maneno mazito
you are lovedAm sorry babe
Lara ukileta mapema itapendeza sanaaNashukuruuu mwanaume wa dar KWA AMARULA! Ubarikiwe Sana! Story Saa 6! Chagueni nimlete nani