Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Mzigua90 huwa akili imeshafika upeo wa kufikiri, sasa option iliyobaki inakuwa hio tu. Niliwahi kukutana na high class whore tukaongea sana, ipo siku nitajakusimulia.
Hao sana afadhali, umeshawahi sikiliza side B ya gays?
Dah!!

HAYA MAISHA IF YOU HAPPEN TO HAVE A STRAIGHT LINE UPBRINGING !!

MSHUKURU MUNGU BASI!!
yani basiii!!
 
Kiukwelii kabisaaa nawaambia Ghost ni mtu mbaya Sana! Tena sana! Naomba mnielewe navowaambia ghost ni mtu mbaya! Msijue mbaya kidogo ni mbaya kweli kweli! Hatari sanaaa!

Ile gari nilioambiwa imeibiwa mpaka kunicost maisha nilikuja kujua haikuibiwa wala nini. Aliichukua mwenyewe! Walinichezea mchezo! Na akajua nimejua hajaibiwa gari na bado akakomaa niendele kulipa lile deni! Alishanisainisha documents za madai! Ananidaimillion 200! Ile route ya Linda akaihesabia 70m sababu almanusraincost maisha! Ikabaki deni million 130!

Baada ya ajalinilikonda sanaa! Afya ikawa mbaya mno mno! Nikawa napepesuka! Akaniambia kwa hali hii airport hupiti. Itabidi ufanye kazi zangu hapa hapa nchini kama dreva! Na hapo nimekuonea huruma mpaka basi! Afya yangu haikuwa nzuri kabisaaa! Kazizenyewe za usikuwa manane! Kuweka stakeout! Kungojea mizigo bandarini inayokuja kwa boti. Pesa ye yewe ndogo ukilinganisha na risk!

Route ya nje unalipwa hata million 45 mpaka 70! Routeza ndani unabeba shehena shehena kweli afu Dar Tunduma unalipwa million 20 na ndo highest internally! Mazingira magumu ya kazi nikaugua TB! Hapo nishalipa lipaimebakia million 90! Tb ilinipiga sanaa! Hali ikawa mbaya mno mno! Ghost anatishia deni lakenikifa itabidi alilipe mama!

Kiukweli ikabidi nimwambie mama ukweli! Mama akasema ukipona siwezi kukubaliufanye ile kazi! Ngoja mimi nikambebe sasa hivi mmalizane ukipona ufanye tena mziki! Akamfata akamwambia mwanangu anadaiwa! Afu anamjua alikuwa anamuuzia mzee sana dawa! Akamuonea aibu akamwambia chagua route! Akamwamvia nipe yenye pesa ndefu kuliko zote ! Mi hata nikienda jela sina hasara! Ungo nimevunja, matuso nimefanyana sana, labor nimeingiaaa mara 2, nimeolewa na mume bimezika! Nikinyongwa sawa tu,nikifungwa maisha pia sawa! Akampangia route ya marekani Million 50!

Maza mbishi kabpa hajaenda kaenda kupulizaaa kweli kweli! Alikaa kijijini kwao mwezi mzima analogaaa tu! Waganga kama woteee! Afu akatengenezewa karatasi za ugonjwa! Kwelini mgonjwa ila sio kihivo! Kapanda pipa! Na mzigo wa kutosha! Alimeza! Marekani pagumuuu! Sababu mtu mzima kwanza kaenda na wheel chair! Ana sukarimiguu imevimba kama yote! Kapenya fresh! Akamwambia nitafutie ya kurudi nikija nagemua 100! Tunamalizana! Akaka mda anatafuta mzigo! Ukapatikana ikatakiwa aupelekeIndia lakini! Akatafutiwa vyeti akawa anangoja kwenda! Ananiambia mwanangu nisha solve hili!

Siku zote naendesha mifupa hii pick up! Mama anarudi kama keshoanaenda India! Ghost akaniambia nichukue ile ile Mercedence Benz! Ile yenye balaaa! Kuna mteja ana test drive! Nilihisi foul play! Nikakataa katu katu! Akaninganganiza sanaa sanaa! Nikagoma! Akaniambia basi nenda stake out! Akaniambia pita njia mpya! Chale zikanicheza! Nikapakia mzigo nikapita njia ya zamani! Polisi hawa hapakama wote! U ga shehena! Ikabidi nimpigie.

Kaja pale huku na huku wanataka million 50! Akawapa! Akaniambia deni lako limeongezeka! Kwanini umepita huku? Umenilengesha eeeh! Nilikwambiaje upite wapi? Nilijua huku leo wapo! Niliumia mnoo mnooo! Nikamuuliza Chalz aliepita kwingineakaniambia kote walikuwepo! Leonilikuwa siponi hata ningepita angani!

Nikajua boss hana nia ya kuniachia! Sio leo wala kesho! Ataniweka mtumwa mpaka kiama! Mama akarudi nikamwambia mama basi! Inatoshaaa! Nikabakiwa deni million 40! Bikaamua hizi simlipiiii ngoo na lazima nisepe!

Nikamzoea mpambe wake anaitwa Cos! Ni mdananda sana! Watu wanamuona choko, wengine wanasema choko kweli, wengine mchicha mwiba, wengine mzima! Hata sielewi! Cosni mpambe wa kushoto wa Ghost! Katika watu ghost hachomoi kwao basi Cos! Kama kuroga Cos kamuweka Ghost kwenye chupa!

Cos kumpata sio rahisi ila kila shetani na mbuyu wake! Huyu Cos anampenda sanaa sanaa mdada mmoja hapa hapa kwa ghost tunamwita Cookie! Huyu Cookie tatizo anapenda sanaa wasichana wenzie! Ni gangstar sanaa! Tena sanaa! Mpaka Ghost ana muheshimu! Cookie ana mademu zake kabisaa wana mdanga! Kwenye kazi wanaume tunakaa pembeni! Kama ni stakeout anaenda front! Yeye ndo anabebea machine sasa!

Mzuriiiii sanaaa! Nilivokuja nilimtolea macho ila wakaniambia mwanaume mwenzio huyo! Oooooh! Anayway mimi na Cookie tunaelewana sanaaa! Despite everything i still treat her like a lady! Ananiambia Hans usinichukulie poa mazee, mimi manzi wa Unga Ltd nitakupasua pasua! Namwambia Cookie huwezi kukojoa umesimama, we bado mwanamke na bado unaingia period kila mwezi! Akawa hapendiii ila akaja kuzoea tu kwamba kwangu yeye mwanamke!

Watu wanamuita bro! Mi namuita DADA Cokie! Waru wanamuita Man! My Man! Mi namuita Madame! Sasanikawa mdhaifu dhaifu sanaa! Akaamua kuniita mwanangu! Akawa ananitetea! Bikawa namsimulia nina mwanamke wangu yuko jela! Jinsi gani Ghost ananifanyia! Akaniambia hata yeye kaka ake alikimbia na unga wa ghost uko India! Ghost akaleta moto kwenye familia! Akawachomea nyumba! Yeye akajitolea kuja kulipa deni la kaka ake! Na alikuja mdogo ana miaka 13 mpaka kesho anapigiwaga hesabu deni lipo! Yeye ashaamua maisha yake hapo hapo kwa ghost basi! Sababu anapenda wanawake hazai wala hategemei kuzaa haoni tatizo! Afterall kazi inalipa ukilinganisha na zi gine mtaani!

Nikamchomekea Cookie aniombee kwa Cos nihamishiwe kitengo laini kama bar hiviniwe pusher! Maana si unajua nimemaliza dozi ya TB iki irudia siponi! Sasa na huku nje naona kama mwisho wanguhaupo mbali! Akagunaa! Akasema Cos anataka anitombe hana hitaji lolote zaidi ya hilo! Na sio kwamba anataka hivo vipi? Anataka aonje tu design ya wanawake kama mimi! Hans nina karne sijape ywa na mwanaume, siwezi naona kama mwanaume afu mwanaume mwenzangu anigeuze! Mi nitaenda kukuombea kwa Ghost mwenyewe! Akaenda ghost akachomoa!

Siku hio tupo stake out nikakohoa damu nyingi sana! Cookie alitetemeka mpaka akalia! Niliwaambia wasomaji mwanamke mwanamke! Nikamwambia najua nitakufa dada Cookie! Aliacha stake out akanirudisha kitukisichocha kawaida! Ana mtetemekea Ghost kama kamola kake ka pili! Nilienda hospital nikapewa dawa! Haikuwa issue serious! Cookie alinipa off yeye kaka yeye wakati Ghost pekee ndo anatoa off! Akasema kama vipi aulizwe yeye!

Nimerudi nikapangiwa bar counter! Nikafundishwa kupima shots, kuchanganya cokctail na mambo kama hizo! Bikapangwa Club D! Nikajua kukohoa damu kulinisaidia! Niko bar, akaja mtu akanitania, wewe Cookie umempa nini? Nikauliza kivipi? Akasema kalala na Cos uhamishwe mchezo? Nilistuka, niliumia, nikahiapiza nitakuja kumlipa fadhila zake! Basi ananiambia Cos kupewa aonje ndo kachanganyikiwa na Cookie balaaa! Navokwambia Cos kampanga Ghost Cookie sahivi nae yupo hapa hapa Club D! Navokwambia Cos hakupendi sio masihara, anahisi Cookie anakupenda wewe! Nilisikitika sanaa!

Raha ya kukaa bar, umbea unaupata mwingi sanaa! Mpaka historia ya ghost niliipata. Ghost bwana unaambiwa alianza A town kama mdananda kwa kidhungu mnaita PIMP! Anawatafutia matajiri wa mererani wanawake! Wanampigia simu anatokea na wanawake 3 au wa 4 kuetegemeana na oda ya hao matajiri! Anapatana ano mpaka bei!

Wakienda viwanja bili anazidaka yeye, kama billi 150,000 anawajaza 250,000 wale ma don wanampatia hio pesa anaminya na kulipa! Kwa kuwapiga tu vinywaji anatoka hata na laki 7 kwa usiku mmoja! Alipata jina sanaa kwa kuwa mdananda AA Class! Maana Ma boss wakilewa simu anawatunzia yeye na kuziepeleka hotelini!

Huku na huku akakutana na tajiri basha! Anapenda wanawake na wanaume! Akampenda Coskumuomba akakataa! Boss akaendeleza urafiki akampa gari kama alivonipa mimi akamseti limeibiwa! Akamla Tigo! Ndo maana hayupo sawa! Kalegea legea kama spring za matako hana! Maana huwezi kukaza mwili bila kuanza kukaza makalio! Sasa centre bolt ishatatuka! Wengine wanasema sio kweli walimzushia sababu ya kudanandia mademu za watu kumkomesha! Ukwelini upi na uongoni upi hilo sina uhakika!

Ina uhakika asilimia 100 kwamba ghost tangu awe ghost hainamishiwina mdudu yoyote! Kama anainamisha watu sijawahi kusikia wala kuhisi, sidhani! Ila kuwa ni hanithi nakubali 100% Issue kwamba wanawake zake ana wanawa midole tu naweza kuamini! Maana kuna theory nyingine inadai aliwekwa bond Pakistan, pesa ikacheleweshwa wakamkata dudu lake! Ghost hakojoi mlango wazi hata siku moja! Maana nilisema nimchungulie wapi!

Kuna shoga moja huku na huku tualipa pesa lijitoe ufahamu lijifanye kama linampapasa Ghost kwenye machine! Alivodakwa mkono hakuamini! Bahato yake shoga sanaa ghost hakustuka!

Allin allnikawa hapanauza liquor na madawa! Cookie tukawa hatuonani sana akipata mda lazima aje hapa conter tupige story! Akawa ananiambia nakudai Tigo! Ulichonifanya nikafanywa na Cos malipo yake labda Tigo! Nikamshukuru tu kwa kuniokoa!

Cookie akaja akaniambia nina shida kubwa! Nikamuuliza shida gani dada Cookie? Akasema demu wangu anataka mtoto! Sasa mimi simuamini mngese yoyote kumpa mimba! Kasoro wewe Hans! Tobaaaaa! Tobaaa! Natubu mimi ndugu msomajii kwenumbona balaaa hili kubwa! Nikasema dada Cookie mi siwezi nakuheshimu, wewe ni kama mama yangu na huyo atakuwa baba yangu! Akaniambia koma mimi ndo baba! Mmmmh! Akasema Hans mi nakuamini wewe tu! Usikuze mambo! Unampa mimba afu basi! Nikawa natetemeka! Akapanda dau, nitakulipia million 30 kwa ghost!

Baaaaaaaaasssss! Hapondo nilipokuwa napataka! Hata kuzaa na pepo nitzaa naekwa hio pesa! Nikajivunga kwasababu tu ni wewedada Cookie! Basi nitafanyaje itabidi tu nikusaidie! Akaniambia sikuya off atakuja! Usimuulize muulize maswali tekeleza hilo swala! Nikasema sawa! Ongea kabisa na ghost! Akaniulizahuniamni? Nikajitia nakuamini.

Akamuita ghost akamwambia ahamishie deni langu million 20 kwake ghsot akamwambia kweliCookie u epatikana na Hans mpaka unahonga? Mi naangalia angalia chini! Niko weekend akaja, demu ni mkaliiii balaaaa! Mmbuluuu! Mzurijeeee! Haniangalii usoni! Akaniuliza umeongea na Cookie! Nikamwambia ndio! Akatoa unga aka sniff! Ni teja balaa! Pakti nzima sniff moja! Nikamwambia naomba nipanguse! Kuetse hivi kitu balaaaa! OG! KONKI KONKI MASTAAA! Unga wa Ghost ukasome chekechea!

Nikamuuliza unga umetoa wapi huu baby? Akaniambia huu Cookie kanipa, wame u bust Club D, kuna washenzi wanauuza ndani ya himaya ya Ghost, HQ ya ghost watu wana penetrate bidha ingine. Ndo maana Cpokie kaletwa Club D kama apeleleze nguchiro gani inafanya hizo mambo!

Huyu msichana kwa haraka maybe she is 16 nikimpa sana 18! Nikamuuliza kwani unataka kuzaa? Akasema ndio! Nikamwamvia sasa na pesa yoteya Cookie kwanini msizae kitoto kizungu! Mkaenda ma France huko clinic kuchukua mbegu za wazungu! Akawaza akasema afu kwelinapendaga watoto half cast! Ni wazuriii! Basi sawa! Nikamwambia sababu ushaingia kwe ye domo la mamba lazima nikukule!

Nilimla yule mtoto! Mtamu sanaaa! Kidogo biwe Cos! Nikamwambia ukitaka mshedede wa maana chukua namba yangu! Ukisikia hamu tu niite! Akachukua namba! Mi sikuchukua namjua Cookie vizuri sana! Nikaanza kufatilia ile mali KONKI nani anaiuza sikuwahi kujua! Anaiuza vipi sikujua! Ila wateja wakawa wanayo sanaa! Wakifika wanataka KONKI sina wana ghairi! Ghost alipaniki sana sanaaa!

Huku na huku nikafatwa na jama nae ana product yake anavodai ni kiboka ya KONKI anataka niiuze pale palekwa Ghost! Chini ya pumbu za Ghost mwenyewe! Ananiambia Ghost mshenzi sana! Jikwamue! Nakupacomission 30% selling Price! Sijui ujasirinilitoa wapi, nilikubali! Nikawa natumia packeging za Ghost hizo hizo nauzia ZE DUDU! Nilipata pesa ndefu kwa mda mfupi! Mtu akitaka KONKI nampa ZE DUDU!

Ghost akasikiakuna ZEDUDU tena inauzwa humo humo ndani kwake! Wa kwanza kunisuspect nilikuwa mimi! Akanikagua sanaa sanaa! Hakunikuta na bidhaa zaidi ya zake! Angesema aonje Ze dudu ilikuwa pale pale! Akawa ana ni scan, ana nikagua balaaa! Ila Zedudkama kawaida ndani ya nyumba na Konki ndani ya nyumba kama kawaida!

Cookie akadai KONKI inauzwa snaa nje, ni product nzuri so watu wanakuja nayo, wateja ndowanaii giza pale! Ghost tulimvuruga vuruga sanaa! Deni langu lilibakia kama million 2 tu kwa Ghost! Nilipata pesa nzuri kwa kuuza Ze dudu! Nikajipanga niondoke kwa Ghost nikawe ki Ghost changu! Napanga mipango yangu taratibu!

Siku ya kuondoka,nikatuma million 2 cash kwa ghost! Afu sikuja kazini! Cha kushangaza sikutafutwa kabisa sio kwa simu walakwa vitisho! Nikapiga mwenyewe simu kuuliza Ghost kasemaje mimi kuondoka! Nikaambiwa wewe bado hajajua kama umeondoka! Ila Cookie kaondoka, kumbe kaka yake karudi Indiana ndo wanaosambaza hio KONKI! Mda wote pale Cookie ndo maina supplier wa KONKI! Alikuwa anaaingiza sokoni! Sahivi na kaka akewana hela chafuuu ghost hawezi wasogelea!

Mmmmmh! It made sense! Maana mwanamke wa Cookie alikuwa na KONKI kabla hata haijakiki! Nikampigia Cookie!Akapokea! Nikamwa!via na mimi nataka kujiunga huko! Akasema itakuwa vita hatutaki! Nikamwambia Cookie mi ndo nilikuwa dealer wa ZEDUDU! Ghost atanila nyama! Akasema we mngese njoo tu huku! Nika decamp kwa kina Cookie!

Kakaake Cookie ni mteja mteja A akilia anazo nyingi! Anaishi Hongkong! Operation imeenda vidatooo! Ghost akajua nipo na Cookie ila sionilikuwa nauza ZEDUDU! Hili hakujua! Alinipigia simu akanilaumu sanaa kuuza KONKI na Cookie! Akanitishia maisha! Alipanic!

Siku ya 3 nikiwa kwa Cookie chini ya kaka yake Fidel Castro naambiwa huna bahatiiii! Sinaaa! Naaambiwa Kyle kaenda kwa ghost kupiga magoti na mwanangu! Yeye mwenyewe anaomba Ghost ambebeshe unga! Kwa kwa kweli ndugu msomaji sina bahati kabisaa!

ITAENDELEA!
 
Umenitime ile ile, hapa nilikuwa nasubiri ushushe mzigo nisome kabla sijaamka. Hii kitu tamu
 
Hahaa story za lara 1 zimejaa uhalisia sana" mtu unaweza usioe/usiolewe"... character wanakitembeza hatari", unyama unyamani full umafia
Yaan usioe au usiolewe sababu ya story jz??duuu utakua unaishi maisha ya mtu mwingine na sio ww
 
Dadek!

Hans anakuja kua kama Caesar kwa mnaokumbuka.

Ila Lara 1 fala sana. Yani Ghost dushe hana, marinda hana!

Hahhahhaha..ni shida kwa kweli..vyote Ghost hana. Sijui hayo mahela yote anamtaftia nani kwa nguvu zote za magendo na risk ka mke haiwezekani wala mtoto hamna..labda wazazi na ndugu..
 
Leo naona mapicha picha tu mara konki,mara zedudu
 
Hahhahhaha..ni shida kwa kweli..vyote Ghost hana. Sijui hayo mahela yote anamtaftia nani kwa nguvu zote za magendo na risk ka mke haiwezekani wala mtoto hamna..labda wazazi na ndugu..
Ni mwendo wa kunawa tu!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom