Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Kazi sana. Kumpanulia miguu mtu huna hisia nae kisa hela mateso jamani
Sasa kuvua TU chupi na kupanua Miguu nayo kazi?
Sasa kuvua TU chupi na kupanua Miguu nayo kazi?
yaniiiiii!Ama hakika story zalala zinatia nyege zote zote kuanzia nyege zakutiana mpaka nyege zakutafuta pesa kwanjia yoyote ile
Kufanikiwa kwa mwandishi huko nako!Hahaha ila we mdada unazingua sana aisee. Eti jana nilikula kichwa! Unainspire udangaji kwa mabinti humu ujue?!
Hahaha kwa kweli!Kufanikiwa kwa mwandishi huko nako!
Mwandishi is inspirational ,ahahahhahahha!
Unaonekana una interests na masuala ya uandishi.. Vinginevyo hii misamiati usingeimudu kuitumia. Are you a writer?yaniiiiii!
kajinga hakaa!
psyuuuu!
WHEN FICTION MEETS NON FICTION PLOT PLUS A FICTIOUS WRITER!
lazima TU HIZO NYEGE MBILI ZIKUTANE!
I AM!Unaonekana una interests na masuala ya uandishi.. Vinginevyo hii misamiati usingeimudu kuitumia. Are you a writer?
Note: I am an interest detector..
ahahahhahaha interest detector you are!Unaonekana una interests na masuala ya uandishi.. Vinginevyo hii misamiati usingeimudu kuitumia. Are you a writer?
Note: I am an interest detector..
Bingo!I AM!
Hahaha! Umeshawahi kuandika chochote? Wapi? Nipe link..ahahahhahaha interest detector you are!
BRAVOOO!Bingo!
nikikupa link si ndo nimekupa kitambulisho change cha uraia,leseni,tin number, kadi ya chanjo, mpaka jina la mjumbe wangu Mkuu!?Hahaha! Umeshawahi kuandika chochote? Wapi? Nipe link..
Dullah vuna ulichopandaDullah alijaa mambo ya harusi Dubai! Kidogo kidogo nikajikuta nasogezwa tukae! Maana harusiya Dubai sio mchezo mchezo. Ndege mtu moja mpaka million! Sasa waalikwa familia tu balaa! Bado malazi, bado gharama zingine, ukumbi na kila kitu. But it was my life dream! Kama nikija kufunga ndoa lazima nifunge Dubai. Lazimaaaa! Ndo roho yangu itaridhika kwatuuu!
Nikakubali kusogezwa tukae! Kwake huko Masaki! Nikaingia ndoani na mto wa kifuu! Ndoa tamu na mafundo lukuki toka kwa makungwi waliokubuhu! Nimefika na moto wa kifuu! Mume kama mtoto! Muandalie maji ya kuoga! Pika mwenyewe! Sijui akinya mtawaze! Heheheeee! Kiukwelii wanted to give it my all!
Ilinichukua wiki tu kustuka nimeuziwa mbuzi kwenye gunia. Na hamna jipya lolote! Ushubwada mtupu! Ila nikaendelea kujipa moyo! I was in denial! I wanted it work, i waa not going to accept another outcome! Na mimi nikaungana na wenzangu kujifanya maisha ya ndoa babu kubwa!
Mahesabu niliyakosea toka mwanzo! Mama lake aliniambia shoga mi nishaolewa na nakuhakikishia unauziwa mbuzi kwenye gunia! Be yourself usijiforce! Just be you! Nikawaza huyu ndo maana kaachika huyu! I am going to be the best version of me!
Nawahi kutoka kazini,nampikia bwana chakula kwa mikono yangu! Namfulia nguo! Namtemgea chakula hata akitaka maji namsogezea! Asubuhi namnyooshea nguo zake! House girl akasome! Wiki tu msomaji i started questioning myself if this is the till eternity or death do as apart mbona kama nafeli mapemaa sanaaa! Nikajitahidi mwezi mmoj!
Kuja mshahara Over time kikono! Target sijafikisha, mshahara sijauzoea kabisaaa kabisaa! Nikaona nafeli mbona! Na matatizo yakaanza bank mchawi targets zisipofika huna bahati. Na mimi zikaanza choko choko left and right! Na bwana nisha!zoesha akaanza nisipopika mimi hali! Bikichelewa kidogo tu ananuna na matusi hamfanyi siku hio.
Nikawaza huyu bwana ana mapesaa, nateseka nini? Nishaolewaaa! Nikamwambia naacha kazi! Akapinga snaaa bila sababu za msingi. Nika resign! One month notice! Boss huyu mpya akakubali si hanijui. Mwezi ukaishaaa nikawa mwepesiiiii!
Nimeacha kazi nimekaa nyumbani naona Dullah nae hatoki! Tunashinda wote! Nikajua labda kuna sababu! Sikuuliza! Ikapita wiki 2 mtindo huo huo. Nikamuuliza baby hivi mbona huendi kwenye mambo yako? Akasema sahivi business ziko slow! Season iko slow! Nikamuuliza kwani unahusika na nini? Akasema tuna kampuni nyingi. Nikamuuliza mna maana wengi wewe na nani? Akasema mimi na mdogo wangu yule boss wa Tigo. Tunafanya viashara kwa kushirikiana. Nilimuamini.
Nikashangaa huu ukoo tangu nianze kuishi na ndugu yao hawana shobona mimi kabisaa! Wanaume watu poa sanaaa! Wanakuja kwa ndugu yao! Ila ma wifi tangu mahari sijawatia machoni. Na mimi nikachukua time zangu! Kukawa na 40 ya dada yake Dullah! Dullahakasema inabidi twende. Nikakubali! Tumeenda huko ni mikaushooo, na minyoosho mtindo mmoja!
Nilichokigundua ni Dullah alikuwa haeshimiki na ndugu zake kabisaa! Wakitaka maji yakafatwe yameisha wanaita Dullah! As an errand boy! Sikutaka kujipanikisha nikawa nausoma mchezo! Nikamuona Bille huyo mdogo wake, boss boss kweli! Analipwa million 30! Ana shehena ya magari! Kavimbaaa! Mtoto mdogo ana wake wa 2 tayari. Mmoja mwarabu wa Oman! Unaambiwa kwao wana visima vya mafuta, na baba mkwe ndo anawaletea mafuta kwa mkopo toka Oman kwenye sheli za Bille!
Kaka yao mwingine najua yupo IMF! Huyu mtu mzima na mkewe mtu mzima sanaa! Hawana makuuu! Ni watu simple sanaa na wenye heshima kubwa! Nikamkuta na wifi yetu, aliezaa! Nae kaolewa na mtu mkubwa! Mpemba mwenye maduka yake na viashara nyingi ma lodge huko Chalinze, Tunduma, Makambako, ana Semitrella ana business nyingi mnoo! Ila nae mke wa pili! Na wifi mwingine aliolewa na mwarabu akaachika so yupo kwa wakwe ila mwarabu ana mtunza kama kawaida!
Katika story ndo kasikia kama Dullah anasemwa kimafumbo lakini, hamna anachofanya mpaka leo, anamtegemea Bille mdogo wake! Mara mke si meneja kaowa vizuri! Wavondei waswahili hawaaaa! Balaaa! Mi nikaelewa! Ila nikajifanya mjinga!
Jioni nikamuuliza Dullah wewe na Bille mnafanya biashara gani? Akawa anajitamba tuna apartments hizi, tunakusanya kodi, tuna hotelina lodge, mostly ni real estate! Nikambana kwa hio mna share ngapi kwa ngapi? Akahibu hizo sasa siriza familia! Nikamuuliza kwa hio mimi sio familia? Akazuga zuga pale hakutoa jibu!
Ada ya Ellah ikawa imeisha! Anatakiwa $2600 ya term inayofata! Nikamwambia Dullah! akauliza baba yake anatoa bei gani? Nikamwambia hatoagi natoa mimi na kazi sona sahivi! Akaanza maneno shule ghali sanaa hio tutafute shule affordable, ya bei rahisi. Mi sikuchangia. Shule ilafunguliwa Ellah karudishwa ada haijalipwa! Nikamuuliza vipi? Akasema Bille hajampa hio hela! Ndo nikawa nauhakia nimeuIwa mbuzi kwenye gunia!
Nikaenda kupambana na baba mzazi! Kulia kushoto katoa $1000 hio ni pamoja na kumpiga pini ustawiwa jamii kuhusu matunzo! Nikawaza sanaa mwanangu hawezi kukosa ada! Kule cambridge namuhamishaje mtaala! Nikaanza kuchat na boss yulewa bank! Akajaaa! Nikarudisha mahusiano! Nikamchomekea la ada, kaka si mchoyo akanipa yote 2600 maana na wanae wanasoma hapo hapo!
Dullah baada ya kuona Ellah anaenda shule, hakuuliza ada imepatikana vipi au vipi! Na mimi sikumwambia na aikumlaumu sana sababu kiukweli mtoto sio wake! Nikaanza kuyachimba ya Bille na Dullah kwa ndugu zake! Wabondei hawana kaba wale! Kumbe Dullah anasimamia tu biashara za kaka ake tena kwa juu juu tu! Ile kutumwa hapa na pale baaaas! Anapewa pesa mbuzi tu ya kula! Nilimuonea imani sanaa! Sikumdharau nilimuonea huruma!
Siku hio nikawa mwema kwake kwelikweli maana alivonitibua vuzi kuhusu mtoto ada nilikuwa nalala na tight na dera! Yaani alikuwa hapati chochote! Baada ya kujua hohehae nikamuonea huruma nikaamuakumpooza kidogo! Mali akose hata mke mzuri na mie anikose itakuwa kakosa vyote sasa duniani pia ni too much!
Alikuwa katoka, najua yule mbondei ugonjwa wake wali wa samaki na nazi iwe shataa shataaa! Wali nazi, samaki nazi! Nikakarangizaa! Ellah akaenda kwa mama zake wadogo kwanza uwanja uwe wazi! Nimevaa bikini, na sidiria tu na mtandio mwepesiiiii kabisaaa! Nimejiegesha naangalia tv! Na wine yangu pembeni!
Karudi anauliza Ellah yuko wapi? Nikasema kwa ndugu zake huko! Akaanza kwanini sijampa taarifa? Sikuwa na mood ya ugomvi kabisaa! Nikajibu kiutu uzima mkubwa yule, anatakiwa mdogo wake! Akaelewa somo la kiutu uzima! Amekaa kwenye tv, napita pita tu kiuchokozi! Mara nimeenda huku mara kule ilimradi!
Chakula kikawa mezani! Tangu ugomvi kila mtu anakula kivyake! Akajisogeza dining! Nikajichetua baby ujue nilikuwa nakungoja tule wote! Utakulaje mwenyewe! Akashangaaa! Nikampakulia! Nampigisha story za mihangaiko huko? Anasema hivo hivo Mungu anasaidia. Nimeenda kwa Bille akawa very busy hata hatujaonana! Moyoni nikajua Bille kamkaushaa! Hamna u busu wowote ushindwe kumuona kaka yako! Nikamwambia usijali utamuona kesho!
Nikamchomekea hivi Dullah ulisomaga wapi? Akakaa kimya mda! Afu akakosa raha! Mpaka nikahisi labda hajasomaa! Akaja kujibu, mimi nilisoma Dallas Texas! Nilienda collage! Nikafaulu, nikaunganisha mpaka degree, mpaka masters! Nilikaa miaka 12 kule! Baadae Mzee akaanza rudi rudi nyumvani ukae na familia yako! Huko mbali! Kazi zipo huku nzuri sana!
Nilisita sasa na upweke ndo nikaamua kurudi sasa nyumbani! Nimerudi mambo tofauti kabisaa! Mimi nimesomea Telecom engineering! Kazi huku hmnaaa! Nishapata kazi na watu wa minara, nikaenda mpaka benin project ikaisha ile! Mostly sina kazi! Vyetivinaoza kabatini! Naamini iko siku Mungu atanikumbuka na mimi. On the meantime namsaidia Bille mostly kumanage ila he does not appreciate me at all! Anadharauuu hata kuheshimu mimi kaka yake! Ada yake ya London nililipa mimi. Na mkewe mwarabu ndo kazidi kuleta mfarakano!
I am sorry sikukwambia fact zote! Maybe nilihofia utanikaaa! Ila ukweli i am struggling! Sio kwamba sijitumi ni bahati ndo sina! Na familia hawana support yoyote! Niliwaomba mkopo nifunguekampuni yangu nichukue tenda wanaingia na kutoka! Mozah ipo siku naamini hivo! Ndo maana sikutaka uache kazi yako! Hata ada ya Ellah Bille alikubali kunipa sema baadae mwarabu akamwambia kwanza mtoto sio wangu you know! Ikaishia hapo!
Kiukweli nilimuonea huruma sanaa! Nikasema sasa nitakuwa mke bora wa kumfariji mda wote! Nikamwambia Dullah usijali Mungu atatusaidia! Mimi nipo na wewe mpaka kufa! Tuta toka tu! Machozi yalimlenga lenga tu!
Siku hio nilimpa mchezo heavy! Mpaka kumfanyia massage ya mgongo! Mpaka kisosa kilihusika siku hio. Japo nae ajisikie mwanaume Engineer wangu jamani. Kesho akaniambia niende interview Tigo, Bille kanitafutia nafasi. Nikaenda sikutaka kuonesha kiburi. Bille ana dharauuuu! Kaka yake anavosema ana mdharau sio uongo! Ananiambia hujafanya vizuri ila nitatumia influence yangu kukuingiza! Mara ananiuliza Mozah uzuri wote huo kwanini umeishia kwa Dullah?
Nimetoka nikapitia bank, kwa danga langu! Boss! Sagivi kawa directoranalipiwa mpaka appartments! Nikamuomba $8000 nataka kununua gari! Danga ukitaka likupe pesa liambie likupe pesa ya kununua kitu cha upumbavu! Hakupi pesa ununue kiwanja au uanze biashara thubutuuuuu! Ili utoke kimaisha umnyime uchi hata siku moja!
Mchaga yule namuwezeaaa! Mwanzo akachomoaaa mambo yake sio mazuri! Nikamtega mkeo anaendesha gari gani? Akajaa misifaa anaendesha BMW X6! Nikamwambia afu mimi mke wa nje nate!belea IST kweli? Au sababu sina nyotaaa? Akanionea imaniii! Akasema kuna bomu langu mojaaa litapita wiki ijayo kama dolla $30,000 likipita hilo nakupa $8000 baby!
Huyu tunapigaga mechi mchana kweupeee kavu kavu! Jioni anaenda kwa mkewe na mimi kwa mume! Ila mchana tunabebishaa sanaa! Ananiambia nikimuacha mke wangu siku, nitakuoa wewe! Ombi la kunizalia liko pale pale ! Mumeo hawezi kujua sisi wote weupeee! Nisipoacha copy kwako Mozah nitakiwa nimejizulumu! Na mimi namwambia wewe nifanyie mambo nayotaka nitakuzalia baby! Mayai yapo ya kutoshaa!
Huyu mchagga mkewe pia mchagga so wako vusy kutafuta pesa 24/7 Mimi kazi yangu ndo kumrelax! Kumpa vitu adimuuu! Kumfundisha michezoo ya mjini! Nampagawishaga sio kitoto! Kwanza kutumia cheni ya kiuno alikuwa hajui nikamfundisha mimi! Hivo yani!
Nimerudi kuuza mechi, nikajiwahi naumwa! Nishameza pills after! Mwepesi! Dullah anauliza interview imekwendaje? Namjibu safi tu! Anampigia Bille kumuuliza na kumuomba anifanyie mpango! Mi namsikiliza nasubiria $8000 toka kwa mchaga wangu!
Tangu nimeanza kufanyana na mchaga nikawa mke bora balaaa! Mchana nafanya maangamizi, jioni Dullah ndo kila kitu kwangu! Nampet pet! Namlogaa na mechi kwa wingiii! Asistuke! Na hakustukaa! Anakiri nashukuruMungu kupata mke bora kama wewe Mozah!
Bille akaja kusema kazi nimepata! Nikaenda kuanza ile kazi! Mshahara 1.5! Kazi kama pundaa! Mda wa kuingia unajulikana wa kutoka haujulikani. Nikifika nyumbani hoiiii! Afu ma voss wakatili! Stress juu ya stress! Nimefanya miezi mi 3 najigundua nina mimba! Mimba yenyewe ikawa na compkications sanaaa! Nika resign bila kumwambia Dullah!
Nikamwambia mchaga nona mimba yake! Akanifanyia transfer ya ile $8000 fastaa wakati alinizungusha balaaa! Bille aligomba sana kwanini nimeacha kazi! Akasema tunasaidiwa hatusaidiki! Akatupa notice kwenye appartment yake! Dullah akataka kwenda kumpigia magoti nikamkatalia! Ila alienda namwambia Mozah ana mimba tutaenda wapi? Akakomaa anataka nyumba yake apangishe! Nikamwambia turudi kwetu palekuna nyumba ya urithi na mimi nafasi yangu ipo. Tukarudi nyumbani!
Nikamwambia Dullah naenda china, nimechukua NSSF zangu zotekuanzia bank mpaka huku! Twende wote! Akakubali! Tukaenda Yiwu! Akawaaga familia yake,mama yake mzazi anampenda sana Dullah hata mie ananipenda akampa $2000 za kushika mkononi akitamabi kitu!
Tumefika wageni tukashuka guangzhou na kuunga Yiwu! Nikamwambia naanza kununua vitaka taka mtaji mdogo! Chupa za maji, miamvuli, rain coats, rain boots! Ma begi ya shule, compass! Socks, hanker chief, taulo, miswaki, Yaani taka taka za shule za watoto! Kule bei ya kutupaaa! Nikanunua na stationery pia! Kukusanya mzigo umejaa container zima! Tukarudi!
Kimbembe pesa ya kutolea! Akaenda kwa big boss Bille hakumpaa hata 10! Kwenda kwa mchaga siweziiii! Ninetoka juzi narudije! Nikaenda kupurusa NSSF zangu kikweli kweli! Zikatosha kutoa! Nikalipia duka! Tukawa tunashinda wote dukani! Tumbo kubwa! Mambo magumuuu! Zigo kama tunafukuzwa na wezi!
Na tumbo langu nikaanza kuzunguka supermarkets ku supplyna wapa bei ya jumla wananipa shelf! Mungu mkubwa ndani ya mwezinilipata supermarket zote maana nilikuwa vunjabei! Nawapa bei nzuri mnooo! Na mchawi bei vitu vikawa vinakimbiaaa! Nilizunguka na tumbo langu maduka ya reja reja nawapa pricelist wakaanza kuja dukani kuchukua mzigo wa jumla!
Miezi 3 container jeupeee! Tulipataa pesaaa! Mzigo almost unaisha tulikuwa na million 90! Na tuna joint account! Dullah anakaa dukani mi nipo field! Nikahifungua, Dullah akafata mzigo! Mi nijawa nalea! Ila viashara nzuri! Tukarudi kwenye appartment zingine sasa! Na siai tukawa na pesa!
Pata peaa ujue tabia ya mtu! Nimekaa hivi, Dullah kanunua gari,Nissan Navara kwa pesa ya biashara! Kumgomba! Oooh unataka kunitawalaaa! Nikajikaza! Mara kamkopesha million 20! Ukawa ugomvi mkubwa sanaaa! Nikamwambia na mimi bataka kununua gari! Anakataa hamna haja ya magari mawili! Nikanunua ToyotaHilux! Alisusa kuja dukani wiki 4 akaanza kujileta!
Mwanangu nikamuhamiahai Heaven of peace! Hio hatukugombana! Siku nimekaa naona rinaingia receipt kalipia silaha na kadi yetu ya bank! Nilichukiaa! Silaha ya nini ndugu msomaji? Akawa anatamba nayo! Mradi kuchezea pesa! Acha kujinunlia rolex $3000! Mara anunue mkufu! Kunipooza ananinunulia na mimi!
Yeye anakaa dukani,mimi ndo naenda front, pesa ya front nyingi nilivoona hasomeki nikaanza kuiba nacheza mchezo wa million 15 kwa mwezi unapokea million 150. Cheki za supermarket za wadoss nazi cash juu kwa juu! Nikatoka wa mwisho nikajinunulia appartment yangu safii kabisa! Nikaanza kucheza mwingine!
Umefika katikati, akaniambia antaka kuoa mke mwengine! Nikamwambia kabla hujaoa sababu mimi kwanza hukunioa sidaitalaka! Tugawane mali mi nachoomba wanangu tu! Akakubali fastaa! Kikaa kikao cha familia! Account ilikuwa na million 300! Akanipa million 200 cash afu yeyeabaki na 100 na stock na biashara! Nikabeba wanangu nikasepaa! Nikaja kusikia kamposa mwanamke wa kiarabu!
Nikahamia kwenye appartment yangu! Mwepesiiii! Nikaanza biashara ya nguo! Maana nilitaka kitu kisicho na usumbufu maana mimi ndo baba ndo mama kwa watoto wale! Nikafungua maduka ya nguo za grade zote! Kariakoo lonyaa! Sinza za kati,Mikocheni za highclass na Mall za high class! Sababu mtaji nilikuwa nao sikusota sanaaa!
Dullah akaanza kuyumba, mke mwarabu ana matumizi kama yote na haingizi shilingi kumi! Bora Bille kaoa mwarabu wa Oman, Dullah mwarabu wa kariakoo! Njaa kama yote! Akafilisi duka kabisaaa! Akaja kuniomba mkopo! Nikamwambia sinaaa! Si una ndugu matajiri waombe! Akafilisika kabisaa, kabisaaa! Mwarabu akadai talakazake 3 akarudikwao na hata kizaa hakuzaa! Mtoto wa Dullah akawa huyu huyu wa kiume wa kwangu mie kama wa dawa!
Akaanza kunighasi kuomba msmaha! Nikamwambia kama sikumsamehe baba Ellahwewe sahau! Alichanganyikiwa kuliko nilivomkuta! Na hivi pesa ashaishika shika! Akaanza kunie dea kwa waganga nimrudie! Wapiiii! Akamuomba mama mkwe aje asuluhishe wapiiii!
Siku hio niko zangu airport nikasalimiana na mkaka wa makamo! Akaniambia anaenda Canada! Nikamwambia naenda Turkey! Akachukua namba yangu! Akaanza kuchat chat! Huku na huku mume wa mtu! Nikamwambia na mimi single mother!
ITANEDELEA!
Ooh.. Okay.. Sikuwaza huko kabisa!nikikupa link si ndo nimekupa kitambulisho change cha uraia,leseni,tin number, kadi ya chanjo, mpaka jina la mjumbe wangu Mkuu!?
am Okey this way!
Hahaha " dullah mwehu mkuu ".. siwezi kuwa pamoja nae " nipo hapa na msubiri starling Linda mafia amka kule hospital hawezi kufa kizembe aisee
Naomba Mungu k isijekua ndo last option kwenye maisha maana nitakonda bila kupenda.Mzigua90 huwa akili imeshafika upeo wa kufikiri, sasa option iliyobaki inakuwa hio tu. Niliwahi kukutana na high class whore tukaongea sana, ipo siku nitajakusimulia.