Weekend story: Bad wives

Weekend story: Bad wives

STORI BADO INAENDELEA AU HAHAHAHHAAAAAAAAAAAA


KIDOGO NAANZA KUKUFANANANISHA NA STORYTELLER M HAHAHAHHAAAA
 
Now is bitter than yesterday.

Nikagutuka kutoka kwenye lundo la mawazo niliokuwa nayo, ilikuwa sfari ndefu sana yenye kutia uchungu mzito sanaaaa. Nikapanda kitandani kujilaza kwanza maana mda ulikuwa umeenda sana na kesho kazini, nikaikumbuka simu yangu, nikakuta 20 missed calls Kucheki hivi Joey.

Nikasema hachoki tu huyu nae, nikalala. Ile nafumba macho tu, Joey akapiga tena, nikaamua kupokea, basi ndo ikawa lawama mtindo moja. Joey akalalamika "Nimeenda pale kwako niemambiwa mehama, kwanini umehama usiku usiku na kwa kujifichaaa. Unadhani sitokupata. I will always find you." Jamani kuna wanaume wa ajabuuuu si kidogo. "Joey you shouldnt find me, you should forget me, matter of fact you shouldnt know me, unaniletea matatizo makubwa sanaaaa. Kwanini hutaki kuelewa. Kuna siku Amar atakuja kukupiga risasi kweli kweli. Atakuja kukua, i know him, i have seen him do terrible things.". "Sikiz Sidney mi Amar simuogopi hata kidogo, he can be a criminal, but there are laws in this country,i aint afraid of his criminal ass one bit. And i cant ignore the fact that he is treating you bad, i just cant keep quiet." "You should be afraid of him Joey you should while you still can".

Nikiwa bado napigizana kelele na Joey nikasikia mlango unafunguliwa, nikastukaaaa sio kidogo, maana bora ahata mwizi anahangaika yaani ni mtu anaingiza codes za mlango kama kwake. Nikatulia kwanza. Nikasikia Babeeeeeeeee! Kumbe Amar. Nikachukia na hivi tulikuwa na beef. "Umefata nini sahizi usiku majumbani mwa watu?" Akaniangalia "woooo woooo, watch your toungue lady, just because i have been going soft on you allowing you to have a little taste of equality dont get he wrong idea you can ran me arround. 1st of all this is my house, i rented it in your name, dont forget who is buying you this life. I can come here any day, any time i want and dont let me catch any fool with you in my house, there will be blood shed and you will be responsible."

Sawa Amar umefta nini tuanzie hapo? Nimekuja kikazi hapa sidney, nimekupeleka pale bank kwa ajili ya mambo yangu, mambo yetu, tulikubaliana kwamba unipe inside information za yule muhindi singa singa, mpaka leo kwenye account zake kuna shingi ngapi. Ile transaction ya china asha wire hela au bado, na kama tayari ni shilingi ngapi. Why is it taking you fucking long"

Sikiza Amar, i told you i am retired, done, after i broke up with you and told you i am moving on, i meant from everything including your trashy life. If you wanna pull out a job, do it your self and go and rot in jail your self. I am done. And i aint afraid of you no more. And this is not your house,and you aint doing me any favors either, this is my cut from the jos we pulled togther, i was dumb not to ask you of my cut but not anymore.

Hahaaaaa! Sydney the dumb girl now growing balls on me, bich you forgot all i have done for you this short while, now you know your rights and you want them. Girl dont get foolish. Fine! kama bado umekasirika na yule Mima, come on, you have always been my main chick, ile ni ajali kazini, it was one time thing and i have said sorry more than even Japan has said sorry to China in the past 50 yrs for world war 2.

Usisahau i forgave you far more terrible things in your life, like not coming to see me even for a single day for all 6 months nilizofungwa Moshi, while i was rotting in jail, you blew up all my money with Joey boy, and when i came out i didnt say shit, not even once, all the time, i got news of you and Joey and my people wanted to whack Joey for me, for doing their boss's girl while i was doing time, and guess who stopped them, me, cause i knew someone had to take care of you while i am inside. You were too dumb to live by your self.

I get it you mad at me, you need time, ill give you time. But i need those details, i am pulling one last big job, then we are going to be a normal familly. Fanya unipatie hizo details nahitaji. Ill be going. " Akatoka zake na kuondoka nikabaki kimya kwanza ntafakari picha zima lilivoenda.

Ofcousrse he was locked up, kwa tukio la ujambazi ambalo tulishirikiana wote, angeweza kunichoma na mimi, but he didnt, na alivokuwa ndani miezi yote 6 sikuwahi kwenda kumuona, wala kuwasiliana nae, i dont know why but i just didnt an couldnt. Ilianza hivi.

"Sidney umesema ofisini wenu sikuku ya mwaka huu imeangukia alamisi na kutakuwa na mauzo makubwa sanaa ya bia, na hautaweza kwenda bank mpaka jumatatu. Sasa jumapili sisi ndo tunavamia na kuiba hizo pesa zote sawa, tutaingiaje hio juu yangu, we unachotakiwa ufanye ni upang pesa zote juu ya meza nje ya safe, afu uende chooni, ukishaenda chooni ni beep. i dont want to take chances with you being in the room and that you are dumb things may get complicated. I wanted to ask so many questions but i couldnt he taught me NEVER ASK ANY QUESTIONS, NEVER DOUBT ME. If you what i tell you everything will be okay. So i had no options tha to agree.

Kweli siku hio, nikiwa na cahsier nikamwambia toa hela zote, akaziweka mezani tuzihesbu hio jumapili ili kesho asubuhi niziwahishe bank, tumehasabu, kufika katikati mkojo ukanibana nikamuaga naenda toilet. Nikabmeep. Nikiwa chooni nikasikia ukunga, nikabana chooni kama walivonielekeza. Baadae akani beep tena, nikatoka nikakuta strong strong room wamejikojolea, esa zimeibiwa zote, nikajifanyakupanic, piga sim polisi.

Sikuonana na Amar kwa siku kama 5, huku kazini ikawa kimbembe, wote tukawekwa ndani, hojiwaaa hojiwaaa na weweee. Hakuna dhamana. Kilichonisaidia Finance manager akanitetea huyu bwana akili zake zipo slow sanaa, sio mtu wa kuweza kuchora tukio kama hilo wala kushirikiana, nyie si mnamuona alivo. Mnamuonea tu. Kazi zake anafanya vizuri sanaana ila hana akili kubwa hivo ya kuwaza mambo kumi wakati mmoja. Polisi anakomaa huyu kwanini aende chooni wakati wezi wanaiba. Boss anatetea huyu itakuwa alikuwa chooni alivosikia risasi labda hata alizima huko chooni, ndo navokwambia hana ujasiri wowote huyu. Polisi wakaona kweli huenda sihusiki maana wakapata file langu la kuugua sana utotoni wakajiridhisha sikuhusika. Sasa sikujua boss alinitetea genuine au kuna mkono wa Amar alimpa boss fungu anitoe sijui. Ila wengine walisota ndani mpaka miezi 8.

Baadae Amr kaja kuniambia kazi ilikuwa ya maana walipiga kama millioni 400 na visenti kadhaa. Nikamwambia Amar zinatosha tuanzishe familia, weunafanya bank, mimi huku kwenye soda, tutaishi vizuri tu. Amar kama kawaida yake hatosheki na anapenda maisha ya juu sanaaa. Akasema hela hazitoshi, inabidi kuna kazi ingine hapo bank wapo kama watu 4 kuna deal la kupiga million 800, then na zile 100 alizopewa kwenye mgao wa ofisini kwetu tutakuwa na million 300 we will start a family but not here, America baby. America.

Kweliin 2 months i dont know how, why or when the dela was done he had the money with him. As most banks they like to keep things quiet as possible, he walked without a scratch. Ofcourse he was fired with all the others in th branch, but we had the millions with us, life was always sweet.Then there was another job, and another job.

Before i know it they had him, the police had him. I tried getting help from my dad, he saidi he shoul rot in jail, and i should find a good man and marry him. His lawyer told me he wont be comming out anytime soon. He is sued by the United Republic of Tanzania on several charges, the minimum he will serve maybe 30 yrs. He tod me, if i had his money i should move on get a life for me, and this time stay on the good side of the law.

I was you and naive, with flithy rich bank account i didnt know where to start. Batuli wa married with 2 kids, life had already passed her and left her behin. I coudnt go to her. I was lost once again. I have always been with Amar since Joey maybe and Phesto, forget about Phesto for now. Maybe i should find Joey and pick up where we left.

I found Joey or Joey found me, it doesnt matter, but we had it going for a while. And Joey was into investiment, he will open a bar, and it will not have customers and he would close it in 2 weeks and forget about all the initial investiment. He will be certain he wants to open a building material business, he went to china, took a loan from Amars money of which people loaned him the items and never paid. The business died too. I was trying to betheir for him, with Amars money, i wanted him to marry me so i never saw anything wrong with his misuse of funds.

Before i know it, my dad broke it out to me i was broke, MC Harmer broke, Joey had used all the money from Amars saving. I was broke until one day Amars aunt came for schoolfees for Amars young sister and there wasnt any. She looked at me and told me "Amar will come out, maybe not today, or not tomorrow but he eventually will come out, and if he does you should be gone, like the money, i dont know what he will do to you but you should be gone, i am telling you as a mother." Nikakaa tu pale na kumtolea mijicho si kidogo.

I knew Joey will save m from Amar if he ever come out which is 30 years later. Life with Joey was not so good but i just stayed with him anyways. Life was pretty mch boring and nothing was happening but Joey was there. And Malika was still on to Joey but she was too broke for his liking. Head Girl was in the US calling Joey from now and then,and Ghatti was married with kids. Lifa had really passed.

As i was just getting comfortable one day i got a call from Lawyer, akaniambia tu, sijui nikwmbie nini, mwenyewe sikutegemea, ila Joey amepata msamaha wa raisi wa siku ya Uhuru, na ameachiliwa huru. Navokwambia yupo kitaa tayari. Sasa sijui ufanyaje. TUmbo la kuhara lilinibana. Kumtafuta Joey akaniambia "Sidney nisamehe but me kesho usku naondoka, HG kanifanyia mpango wa chuo Marekani, kila kitu tayari. Nikamuomba anichukue na mimi, akasema kwa sasa haiwezekani ila akiwek mambo sawa atanifanyia mpango niende. Just like that he left me.

Nikaacha kazi kwa woga wa Amar, nikawa nangoja aje anipotezeee basi, mana nikajua mpaka sasa ashajua hela zake nimezifuja fuja. Baba anagomba huku anasikitika hata haieleweki. Akashindwa kuvumilia. Akamfata Amar kwao, maybe to wrok out some kind of plan amlipe hela zake million 500 na visneti. Hana hio hela sasa sijui alitegemea amlipaje. Amar akakataa kuonana nae, akaishia kuongea na wakubwa zake Amar il hamna muafaka uliopatikana maana ndugu pia waliumia he ya Amar kuliwa na mwanamke ndo kwanza wanamwambia Amar ai haki yako.

Nikawa nishakata tamaa kabisaa, najua mda wowote Amar ananipata.Hata nikienda mjini naenda kama mfu naetembea sina amani kabisaaa. Ikapita miezi 2, nanyatia nyatia tu maisha, nikaanz akuhisi huenda kanisamehe au sijui aje, ila woga ukaanza kunipunguaaa. Nikawa nazurura fresh kabisaaa.

Siku iso na jina, gari hii hapa mbele yangu, niko peke yangu, Nikasikia ingia kwenye gari, Amar huyo, nikawa tu mpole, nifanyaje sasa mambo yashaharibika. Anaendesha kuelekea nje ya mji. Nikawaza tu anaenda kunitoa roho. Nikataka nianze kumuomba msamaha sijui nifanyaje nikakosa nguvu, nikaamua basi bwana kama ahsaamua kunipoteza nifanyaje sasa. Ukawa mwendo wa kimya kimya.

Akavunja ukimya "Dont you have nothing to say to me? Like where the hell were you for the past 8 months, no phone call, no visit, nothing. You didnt get my messages from all those people i sent to you to come and see me. you thought i wasnt gonna come out, well i am out now. start singing"

ITAENDELEA SAA 2 USIKU.
 
Nice one Lara. Naona uliandika ukiwa na haraka kweli, some spells and language leo haviko in shape tuliozoea. But I like it.
 
Ile web page yako inaendeleaje? Karibu tena jukwaani! Halafu nina taka niwe napata muda nikusimulie mambo yangu uyaweke katika maandishi!
 
The job!

Amar being Amar lazima angemuibi huyu muhindi. In short Amar hana dini linapofika swala la hela. sikujua Amar kamjuaje huyu singa singa ila what i knew for sure he must be loaded. Asubuhi nimetoka kwangu nikakutana na mke wa mkongo kwenye ngazi akaniambia i need to talk you, nikamwambia later tutabonga nawahi kipenzi.

Nimefika asubuhi, cha kwanza nikawaza kumuangalia yule Singa singa kwa acess yangu itakuwa soo, now IT is not a joke, nikaamua nitafute guinea pig. And there was Deo, young ambitious man, who was sweet and caring. and there was me, wicked bich who needed to run Singa singa in the bank system.

I walked up to Deo, and started chatting. you know your name means God! He was i do, and when people call me Deo, they call me their God. Hahaaaaa! Wangegundua wangenipiga. Nikaanza kumchatisha, sikia Deo, jana nimekutana na Singa singa kanielewa kinomaaaaa, anadai anataka kunitunza, sasa mi mwenyewe mtoto wa mjini nataka nichungulie account yake nisije kukopwa bure.

Deo had an eye for me, so he like took my bait heads on. Alichowaza yeye ni kuni provia sibga singa si lolote si chochote matter if fact alitamani akute ana 50,000 balance. akasema ngoja tumchungulie. Akaniomba jina, nikampa, Access yake kubwa, data zikaja. Na uzuri hakukuwa na mtu mwengine mwenye jina hilo la Singa.

Akaniambia balance yake 2 million, hana hela za maana wala nini. Nikastuka moyoni, kama ana hela ndogo hivo kwanini Amar anamtafuta? Nikajikuta namwambia angalia vizuri sio Billion 2? Hapo Deo yuko mawinguni akasema ana tumillion tuwili tu, ila inaonesha mwezi huu amefanya transaction moja tu kwenda India ya 900 millions. Nikamponda huyu Singa atakuwa kibaraka wa boss hana lolote.

Moyoni nikafurahi nikajua Amar kachelewa, Singa ashafanya transfer na sio China ni India. Huuuuuuu! Tushamalizana. Nikashukuru pia Deo hatokuwa matatizoni. watu wa bank wanazoea kazi wanakuwa lausy, kama Deo angejiongeza angestuka kwanini nimekuja kumuuliza haabari ya mtu specific, nina majina yake specific, afu asubuhi yote ile, ila kuizoea kanipa habari zote.

Amar akiwa bank ashamfunga boss wake hivi hivi kiboya, yule dada mpaka leo yuko jela. Ishu ilikuwa hivi Amar alichora dili la kupiga cheki ya Halmashauri kama million 120. Na alitaka kuipiga hio cheki na asiende jela. Akasubiri jioni saa 10 na madakika akamfata Rose, Da Rose naomba uiombee access hii cheki ipite kwenye system, kwangu network inasumbua sanaa. Rose sababu ashaweka akili yake kuondoka, akamuuliza ushaiprocess kila kitu. Amara akasema ndio dada Rose. Kuingalia halmashauri, amount million mia na kitu akaona inawezekana kabisaaa sio alerting.

Akaingia kwenye sytem akaomba acess, akaipitisha. Amar akaichukua, wakaanza kutoa zile hela taratibu. mwanzo walienda branch za mjini, mlimani city kuna wateja wengi haikustua, wakaenda kariakoo pia poaaa tu. Kimbembe siku walipoenda kutoa temeke million 20 tu. Kukaguliwa kitu feki, kuitrace nani aliiombea approval kwenye system inasoma Rose. Rose karandinga lilimuhusu. Na hali ilikuwa mbaya kwa Rose sababu hakumbuki ni cheki gani, au ilikuwaje. On the other hand Amar was already in his next job.

Kafanya manuva manuva mpaka kaingia strong room, huko ndo walifurahi. Amar became the lander of last resort Kariakoo. Unakopa million 10, unarudisha 11 ndani ya masaa 24, haina collateral wala nini. Warabu, Wapemba, na wazee wa mishe walikuwa wanamkubaliii. Maana aliwaongezea mtaji. wenye mabucha asubuhi wanachukua mtaji kwa Amar, wanaweka nyama, jioni wanarudisha mtaji na interest wanabaki na faida. Amar alipiga helaaaa. Mpaka walipomletea audit ambayo pia alipewa taarifa mapema na ma boss zake, maana bank kuna njaaa kubwaa usisikie, sasa mtamboni yuko Amar wakubwa wana uhakia wa million kila mtu kwa siku, bila jasho, ni kufumbia macho tu ukiukwaji wa kanuni za kifedha, hawakuwa tayari.

Trust the bankers big mouth, wamechoma headoffice japo ushahidi wa moja kwa moja haukuwepo ila majungu yalitosha kumrudisha Head office achome mahindi kwenye payroll. Na huko ndo aliwapiga kweli kweli na ushahidi ukawepo na taarifa zake kuwekwa wazi asiajiriwe bank yoyote ile.

I had more issues to deal with in this job more than Amar na Singa. My boss was a constant pain in the ass. He didnt like me because i dont know why, he just didnt like me. I hated this job, couldnt wait the day to quit it. This is one of the few times i was glad Amar was a thief.

Nimerudi nyumbani mke wa Mkongo bado ana mimi, nikasema ngoja nimsikilize huenda ana issue ya maana, akaanza ooh mi naomba iwe siri but i am going crazy, kuna issue inanisumbua. Nikamuuliza issue gani tena? Akadai juzi mumewe alikuja akapata wazo aikague laptop yake. katika kukagua kagua akakuta Gay porn nyingi. Haaaaaaaaaaaa! and she cant stop thinking her husband maybe gay. Mmmmmh! Nikamwambia maybe it is just porn nothing serious. Everybody watches porn from time to time. Hakuwa coviced. Nikamwambia labda umwambie Mbondei yule atajua cha kufanya. akawa anakataa its is embaracing ofcourse it is embaracing, lakini what can you do. Akampigia kungwi akaja.

Kungwi ushauri wake mke wa mkongo aongeze movies za gay porn kwenye hio pc. Hahahaaaa! it is not a laughing matter and i am ashamed if myself. We umekuta muvi 7 wamuongezean 10, akija fungua akuta 17, mi nakwambia hayo mapenzi atayokipa hutoamini. kila ntu ana udhaifu hapo kwenye udhaifu ndo pa kuomuonesha mko pamoja. Mbona jambo dogo hilooo. yale mapicha tu, pengine nae alikuwa ashangaaa.

Mmmmh nikaona mtihani si mdogooo. sasa ingekuwaje. Nikawaaga mi natoka jamani. Nikatoka zangu kwenda kwa Amar, nikakuta kuna msichana mdogooo. Asivo na haya akanisalimia shikamoooo. Nikamwambia shika yako, unhekuwa mdogo usingeukalia, muite huyo baradhuli huko ndani. Akaingia chumbani na kanga yale moja. Baradhuli kuja anajikosha it is nit what looks like, Winny you were just leaving werent you dear. winny akavaa zake akaondoka.

Sikutaka kupigizana kelele nae kabisaaa, nikamwambia ile kazi nimefanya balance yake ni miliion 2. Hakustukaa kama nilivitegemea akatabasumu badala yake. Nikamdhihaki umeshachelewa. Akasema nipo on time. Alishatuma hela China? Nikamjibu hapana, akastukaa kama hesabu zikawa haziendani. Akaaniuliza ametuma hela wapi? Nikawambia India, 900million. Akashusha pumzi.

Nikamkazia na kumwambia sikia nikwambie kama kuna kazi unaifanya nahitaji kushirikishwa nijue ramani nzima sio kutumika kuziba vipande vipande. Amar akasema utashurikishwa wakati ukifika. Remember never ask question, dont me and everything will be fine.

Asivo na haya akaanza kuomba mchezooo. Nikamchana yaani umetoka kuuchomoa kwa winny haga hujapoa unataka kuchomeka kwingine mxiuuuuu. Nikaondoka zangu. Njiani ikanipa mawazo sana what is Amar thinking. Ikanirudisha nyuma kwenye ile gari, alivotoka jela na kunidaka sasa.

Baada ya kukaba na swali kwanini sikwenda kumuona, na nini, nikaanza kulia tu. Nikiwa nalia bado akasema forget it, forget it twende club. Nikajimaliza the money is gone Amar! And he was like, then lets make another money baby. Just like that we were back. Ndugu zake wakaamini mganga ninae myumia hana mpinzani sio kwa Dar wala Unguja.

Making money wasnt easy sabau lazima uwe jikoni ili uchore mchoro. Amar alikuwa kashafungwa so sio rahisi kupata kazi, na mimi nilikuwa kazi sina. We were both broke, dead broke. Amar akiwa hana hela sio mtu mzuri kabisaa, anakuwa ana hasira, ana moods, ni mkorofi hatariiiii. Maisha yalikuwa magumu.

Then one day Joey called that he has arranged for me to get to the US, so that we can be together. Sikutaka kumwambia Amar wala nini, na asivokuwa na pesa angeenda hata kunichoma kwenye Visa ubalozi. Hahaaaa. Nikaanza mpango wa safari kimya kimya kwa usiri mkubwa sanaaaaa Amar asijue. Nikaenda kuwaaga wazazi wangu kwa siri. Wkapata mashaka nchi ingine, afu akili zangu 3. Ila wakiona navotaabika wakakubali tu.

Siku ya kuondoka nikawa nishajiandaa kila kitu, nikasema ngoja nikawaage wazazi wangu cha mwisho mwishooo nije nichukue bag zangu niondoke jumlaaa. Amar alishasema yeye ameenda Morogoro. Nimewaaga narudi hivi, kuchukua vitu vyangu, kijana wa kijiweni ananiambia bro Amar alikuja hapo mara moja ila katoka. Nikastykaa maana bag lilikuwa standby document zangu za passpot, admission later nikajua kama hajavichoma moto sijui.

Nikaingia kwa kunyataa, nikakuta viko vile vile, aikuwaza mara 3 nikavuta na kukimbia Airport. Nikawa nimekaa kwanza lwenye viti nasubiri kucheki in. Moyo unanienda mbio sio kidogoooo. siamini kama nimemuokoka yule bandidu. Mtu akanigusa kumuangalia Amar. Moyo ukafanya paaaaaaah! Nikajikazaaaa.

Akaniuliza No goodbye? Nikajibu tu No. Akasema kweli when money flies out the door, love flies out of the window. I wish you all the best, huko Missour unakoenda, msalimie Joey. Ukipata matatizo piga hii namba, huyu mtu wangu yuko Texas, anaweza kukusaidia. Even if you are dumb kumfata mwanaume nchi ya kigeni, huna ndugu, is pretty much dumber. Ila kama umeamua sawa. Hii namba uitunze ukipa matatizo.

Nikamuuliza how long did you know i was planning to leave? akasema toka Joey anakwambia amekupatia chuo. I always read your texts, mails, everything. I knew all allong." Why didnt you stop me nikamuuliza sijui kwa nini nilimuuliza. Akasema cause you never told me you were leaving. I guess this is goodbye. Ndege yangu wamenza kucheki in. All the best Sidney! Akanyanyuka na bag lake akaingia kucheki in.

Nikamuuliza unaenda wapi Amar? Akauliza what does it matter now? You wanna come with me? It is too late. Orevwaaaa!" Nikavurugika kabisaaa. kupeleleza ndege wanayoche in ni Emirates ya Dubai. Sikujua anaenda Dubai kuishi au anaenda ku connect na ndege ingine. Nikavurugika kabisaaaa.

ITAENDELEA KESHO SAA 5 ASUBUHI.
 
Back
Top Bottom