Weekend story: Bad wives

Weekend story: Bad wives

lala moko,lala moja,lala one
damn we missed you deadly
ya welcome bak kipenzi cha wengi
 
Kipaji cha kuandika story ikavutia unacho bidada.Hongera
 
Scondary life was bitter in the beggining, since Pricilla was no more, our crew was no more. I was back to being a zombie i was, a no one, clummsy, ugly and fat me. Those were not so much needed characters to survive in secondary and i had all of them.

Baada ya wiki bi mkubwa kunisindikiza akanikaziaaa bwana inabidi uwe unaenda mwenyewe na school bus, mi na mambo yangu, Mungu ni mwema kila kitu kitaenda vizuriii. Siku ya kwanza kupanda school bus, niiwa muoga muoga nikaingia kwenye school bus kwa wasiwasi kila napotaka kukaa naambiwa kuna mwenye siti yake. Mwisho nikaamua kusimama. Konda akaja kuwachenchia jamani mwenzenu nae analipa mbona mna roho mbaya hivo nyie watoto mkiwa watu wazima si mtaua mtu nyie, yani mnaona sawa asimame njia nzima ili tu muweke mabegi yenu kwenye siti. Rahma toa bag akae mwenzenu. Analipa na yeye mzazi wake ana fight mwnae aende shule kakaa.

Rahma akasonyaaa, akatoa bag, wakasogea na shoga ake wakani ignore complately. Basi shoga ake Rahma gari ikikaibia kwenye tuta anasimamaa. Gari likirusha anatoa ukunga wa hatari, mwisho akaamua tu asimame jumlaaa. Mmmmmhhh! Mwenzie anamuuliza bado hujapona tu, shosti anajibu badoooo. Naumiiaaa mimi, natesekaa akaanza kulia machozi. Rahma anambembeleza usijaliiiii, au uachane nae, kwani ulivoka kasemaje. Shosti anamwambia mimi nilimwambia sipendi mambo yake ya back door, naumiaaa, i cant sit on school bus, i can barely sit napata maumivi, natesekaaa, inaniumaaa balaaa, akaniambia kama sitaki mambo ya Tigo basi, sis wanafunzi back door is safer, we dont have to wory about getting pregnant and shit. Nikamkatalia sitakiiii, naumiaaaaa. He broke up with me, akaenda kumchukua mdada wa Loyo mabibo and they were together all over town, in parties, and it just broke my heart. Nikiwaona nikawa naumiaaa rohooo. When he wanted to get back with me, i thought he has changed ndo jana kukutana tena kaanza yale yale mambo yake ya back door.

Rahma akamwambia maybe uachane nae kabisaa, maana huo sasa ulemavuuu, ushafikiria mzazi wako akijua unafanyiwa hivo atajisiiaje? Kwani anakusaidia nini? Mngese tu hamna anchokupa nakuhariu tu maumbile yako, trust me achana nae. Shosti akawa kama hana maamuzi. Tukawa tushafika, nikashuka zangu ila japo nilikuwa dummy ila nilishangaaa. Shule nilipata sana shida ukizigatia nishazoea ile style ya A listers. I really wished to get back to Alisters.

A listers wa huku walikuwa mean and evil. Break nikawa nakaa tu kwenye msingi wa assembly nangaa sharubu tu mpaka break inaisha narudi class. Sasa katika msingi tukawa wawili tunakaa na mwenzangu anaitwa Batuli, tukawa tunasemeshana fresh, ndo nikawa nishapata shosti. Hatuna makuu, ikifika break tunakaa na kujadiliana mambo kwa kina. Tatizo shoga angu batuli alikuwa mswahili hatariii. Ana story chafu chafu za kitaa kwao, sasa na mimi nilivobozo i found them amusing.

Siku hio Batuli hakuja niko juu ya msingi, akaja mkaka kunisemesha i didnt take him seriously, ana swagga hatari, anaitwa Joey. Brother man just the way i used to like them. It was like a dream come true. Nikaona school is just getting interestig. Akaniuliza uanitwa nani nikamwambia Sydney, akasema anaitwa Joey, niende kwao Jmosi tuongee. My world just stopped. Nilishikwa kigugumizi. Akawa ananielekeza. He was so nice, sweet and sensitive. The fact Batuli hakuja siku hio roho iliniumaaaa cause i was so happy mpaka furaha ina ni suffocate.

Kurudi home nikashindwa nikamsimulia mama, mama nae akaanza kuuweka usiu, huyo Joey nani, yuko form ngapi, huko kwao hana wazazi mpaka akualike wewe, afu kwanini wewe.Nikamuona maza mwanga tuuuu. Anataka kuibemenda furaha yngu, la msingi jumamosi naenda. Keso ilikuwa haifiki, Batuli asubuhi nikawahii nimepeze ubuyuuu. Batuli akawa ananiuliza Joey ndo nani hapo mbona simjui. Nikamwambia nitakuonesha. Akaona hataaaa. Akampeleleza mpaka akaoneshwa huyo Joey ndo nani. Break akaniapia hamna kitu kama hikoooo, yule kaka akulike kwao? Kwa mpango gani? Bonge wewe? Mi sio bonge, na shepu langu sithubutuuu kumsogelea. Na kama kakualika anataka kukudhalilisha.

Being stupid is sometimes advantageous, huenda kweli alikuwa na valid point but me being me your usual dumb nikaona ananizingua tu. Break akaja tena Batuli, nimemchimbua huyo Joey , yaani nimembalaluuu data zake zote ninazo. Mwenzio kwanza katoka Dionicia yule head girl, alafu anasemekana kuwa na something na Malika, yule aliekuwa kwenye video ya huyu msanii wa bongo flava, video vixen. Na pia ni est asie eleweka wa Ghatti huyu mtoto wa balozi. Sasa shoga angu where do you fit on the picture. Sikia Bonge yule Joey anakuchuuza tu, mpotezee. Nikawa sijakubali.

Batuli akingangania jambo hashindwi kirahisi, akaja na plan kuwa break, Joey anakaga kule uwanjani, na wadada duu wa form 2 na 3 wanakuwepo eti twende mimi na yeye Batuli, nipite tu pale tuone kama Joey hajani ignore na kujifanya hanijui. Mi si jinga la mtaa nikakubalii. Tukawa kweli tumeenda mpaka hapo na Joey alikwepo, hao wadada Batuli aliowataja sikuwa nimewaona kama wazuri kiasi hikooo. Mmmmmhhh! Nikakata tamaa. Nikasimama. Batuli ananimbia twende sasa, twendeee. Nikamwambia Batuli umeshinda siendiiii. Now i feel you, the boy is bad news. I was wrong.

Nikawa nimekaa chini ya mti kwana kujikusanya, si mnajua tena mamb ya mjini dunia ilinienda kasi. Batuli akaniambia Joey anakuja njia hii, nikakurupuka, kugeuka keshafika mitaa hio, ikabidi tu niendelee kuaa chini. Akanifata Sydney, basi Batuli almanusura azimie kwa mshtukooo, sio kwa Joey kuwaacha wale wa dada kunifata pale chini ya mti. Kwa umbea akaaga. Joey akaniuliza Jumamosi utakuja. Nikasema nakuja ndio. Mara head girl huyu hapa Joey twende. Wakaondoka, kama hatua 10 yule head girl akarudi, We bonge Joey kamwambiaje, nikasema kanimbia nisimkodolee mimacho. Akaamini, akasunya akaondokaaa.

Basi, Batuli akabadilisha msimamo, ujue we Bonge mzuriiii hujijui tu, nakwambiaa, una macho mazuri, mara miguu, ilimradi tu mtumbaya mtu anatafutiza visifa vya kuokoteza. Yaani i couldnt wait for Satoooo. Imefika, sikutaka longo longo meamka usikuuu, nimefanya usafi kote, nimepika chai, saa 4 nkamuag bi mkubwa ndo naenda. Wosia debe kama sio gunia. Kufika huko kwa kina Joey bonge la jumbaaaa.

Nje tu sijui ilikuwaje, nikamkumbuka shoga ake Rahma,nikawaza sijui nigeuze tuuu. Ila nikaenda ndani, akanifungulia nikaingia, kwa mashaka. Sharo yule mara oooh you made it, welcome, Juice kubwaaaa, mara pringles. nikawaza tu raha za rejareja kama hizi unaweza kuta umeachia marinda yatatuliwe hivi hivi. Basi ananisogelea we just talking and it ws sweet. Mara mlango ukagongwa akaingia Ghati, tukawa tumekaa kimya, Joey kule, Ghati kule, mimi kule kimya. Nusu saa baadae akaingia Malika, nae akakituliza kipapa kimyaaa kama mazombiii, tunaaangalia tv kwa mwendo wa kimya kimya. Mwisho akaja head girl, nae akakitulizaa pale. Likapita isaa katka huo mkao wa kimya kimyaaaa. Tunatoleana mijicho tu.

ITAENDELEA USIKU HUU.
 
U have greatest gift.. Talent in narration.. Big up sana.. Skills zako kwa wadau wa Literature we salute you...
 
Back
Top Bottom