Weekend story: Bad wives

Weekend story: Bad wives

ahahaaa leta sehemu za jey alivokuwa anakunyonya papuchi kwanza ninyegeke
USINIFUNDISHE KAZI TAFADHALIIIIII. Mi hiki kitoto ki soudy nataka nipige nacho mechi a kirafisi ila naogopa kita ni shilawaduuu papa langu kwenye kipindi. Na hivi ndo kuna No shave november, hahahaa nitaadhirika zaidi ya Milly Mwamvua alivopopolewa vuzi zote na Mange Kimambi. STORY ITAENDELEA USKI HUU KUWA MVUMILIVU
 
Ni
Scondary life was bitter in the beggining, since Pricilla was no more, our crew was no more. I was back to being a zombie i was, a no one, clummsy, ugly and fat me. Those were not so much needed characters to survive in secondary and i had all of them.

Baada ya wiki bi mkubwa kunisindikiza akanikaziaaa bwana inabidi uwe unaenda mwenyewe na school bus, mi na mambo yangu, Mungu ni mwema kila kitu kitaenda vizuriii. Siku ya kwanza kupanda school bus, niiwa muoga muoga nikaingia kwenye school bus kwa wasiwasi kila napotaka kukaa naambiwa kuna mwenye siti yake. Mwisho nikaamua kusimama. Konda akaja kuwachenchia jamani mwenzenu nae analipa mbona mna roho mbaya hivo nyie watoto mkiwa watu wazima si mtaua mtu nyie, yani mnaona sawa asimame njia nzima ili tu muweke mabegi yenu kwenye siti. Rahma toa bag akae mwenzenu. Analipa na yeye mzazi wake ana fight mwnae aende shule kakaa.

Rahma akasonyaaa, akatoa bag, wakasogea na shoga ake wakani ignore complately. Basi shoga ake Rahma gari ikikaibia kwenye tuta anasimamaa. Gari likirusha anatoa ukunga wa hatari, mwisho akaamua tu asimame jumlaaa. Mmmmmhhh! Mwenzie anamuuliza bado hujapona tu, shosti anajibu badoooo. Naumiiaaa mimi, natesekaa akaanza kulia machozi. Rahma anambembeleza usijaliiiii, au uachane nae, kwani ulivoka kasemaje. Shosti anamwambia mimi nilimwambia sipendi mambo yake ya back door, naumiaaa, i cant sit on school bus, i can barely sit napata maumivi, natesekaaa, inaniumaaa balaaa, akaniambia kama sitaki mambo ya Tigo basi, sis wanafunzi back door is safer, we dont have to wory about getting pregnant and shit. Nikamkatalia sitakiiii, naumiaaaaa. He broke up with me, akaenda kumchukua mdada wa Loyo mabibo and they were together all over town, in parties, and it just broke my heart. Nikiwaona nikawa naumiaaa rohooo. When he wanted to get back with me, i thought he has changed ndo jana kukutana tena kaanza yale yale mambo yake ya back door.

Rahma akamwambia maybe uachane nae kabisaa, maana huo sasa ulemavuuu, ushafikiria mzazi wako akijua unafanyiwa hivo atajisiiaje? Kwani anakusaidia nini? Mngese tu hamna anchokupa nakuhariu tu maumbile yako, trust me achana nae. Shosti akawa kama hana maamuzi. Tukawa tushafika, nikashuka zangu ila japo nilikuwa dummy ila nilishangaaa. Shule nilipata sana shida ukizigatia nishazoea ile style ya A listers. I really wished to get back to Alisters.

A listers wa huku walikuwa mean and evil. Break nikawa nakaa tu kwenye msingi wa assembly nangaa sharubu tu mpaka break inaisha narudi class. Sasa katika msingi tukawa wawili tunakaa na mwenzangu anaitwa Batuli, tukawa tunasemeshana fresh, ndo nikawa nishapata shosti. Hatuna makuu, ikifika break tunakaa na kujadiliana mambo kwa kina. Tatizo shoga angu batuli alikuwa mswahili hatariii. Ana story chafu chafu za kitaa kwao, sasa na mimi nilivobozo i found them amusing.

Siku hio Batuli hakuja niko juu ya msingi, akaja mkaka kunisemesha i didnt take him seriously, ana swagga hatari, anaitwa Joey. Brother man just the way i used to like them. It was like a dream come true. Nikaona school is just getting interestig. Akaniuliza uanitwa nani nikamwambia Sydney, akasema anaitwa Joey, niende kwao Jmosi tuongee. My world just stopped. Nilishikwa kigugumizi. Akawa ananielekeza. He was so nice, sweet and sensitive. The fact Batuli hakuja siku hio roho iliniumaaaa cause i was so happy mpaka furaha ina ni suffocate.

Kurudi home nikashindwa nikamsimulia mama, mama nae akaanza kuuweka usiu, huyo Joey nani, yuko form ngapi, huko kwao hana wazazi mpaka akualike wewe, afu kwanini wewe.Nikamuona maza mwanga tuuuu. Anataka kuibemenda furaha yngu, la msingi jumamosi naenda. Keso ilikuwa haifiki, Batuli asubuhi nikawahii nimepeze ubuyuuu. Batuli akawa ananiuliza Joey ndo nani hapo mbona simjui. Nikamwambia nitakuonesha. Akaona hataaaa. Akampeleleza mpaka akaoneshwa huyo Joey ndo nani. Break akaniapia hamna kitu kama hikoooo, yule kaka akulike kwao? Kwa mpango gani? Bonge wewe? Mi sio bonge, na shepu langu sithubutuuu kumsogelea. Na kama kakualika anataka kukudhalilisha.

Being stupid is sometimes advantageous, huenda kweli alikuwa na valid point but me being me your usual dumb nikaona ananizingua tu. Break akaja tena Batuli, nimemchimbua huyo Joey , yaani nimembalaluuu data zake zote ninazo. Mwenzio kwanza katoka Dionicia yule head girl, alafu anasemekana kuwa na something na Malika, yule aliekuwa kwenye video ya huyu msanii wa bongo flava, video vixen. Na pia ni est asie eleweka wa Ghatti huyu mtoto wa balozi. Sasa shoga angu where do you fit on the picture. Sikia Bonge yule Joey anakuchuuza tu, mpotezee. Nikawa sijakubali.

Batuli akingangania jambo hashindwi kirahisi, akaja na plan kuwa break, Joey anakaga kule uwanjani, na wadada duu wa form 2 na 3 wanakuwepo eti twende mimi na yeye Batuli, nipite tu pale tuone kama Joey hajani ignore na kujifanya hanijui. Mi si jinga la mtaa nikakubalii. Tukawa kweli tumeenda mpaka hapo na Joey alikwepo, hao wadada Batuli aliowataja sikuwa nimewaona kama wazuri kiasi hikooo. Mmmmmhhh! Nikakata tamaa. Nikasimama. Batuli ananimbia twende sasa, twendeee. Nikamwambia Batuli umeshinda siendiiii. Now i feel you, the boy is bad news. I was wrong.

Nikawa nimekaa chini ya mti kwana kujikusanya, si mnajua tena mamb ya mjini dunia ilinienda kasi. Batuli akaniambia Joey anakuja njia hii, nikakurupuka, kugeuka keshafika mitaa hio, ikabidi tu niendelee kuaa chini. Akanifata Sydney, basi Batuli almanusura azimie kwa mshtukooo, sio kwa Joey kuwaacha wale wa dada kunifata pale chini ya mti. Kwa umbea akaaga. Joey akaniuliza Jumamosi utakuja. Nikasema nakuja ndio. Mara head girl huyu hapa Joey twende. Wakaondoka, kama hatua 10 yule head girl akarudi, We bonge Joey kamwambiaje, nikasema kanimbia nisimkodolee mimacho. Akaamini, akasunya akaondokaaa.

Basi, Batuli akabadilisha msimamo, ujue we Bonge mzuriiii hujijui tu, nakwambiaa, una macho mazuri, mara miguu, ilimradi tu mtumbaya mtu anatafutiza visifa vya kuokoteza. Yaani i couldnt wait for Satoooo. Imefika, sikutaka longo longo meamka usikuuu, nimefanya usafi kote, nimepika chai, saa 4 nkamuag bi mkubwa ndo naenda. Wosia debe kama sio gunia. Kufika huko kwa kina Joey bonge la jumbaaaa.

Nje tu sijui ilikuwaje, nikamkumbuka shoga ake Rahma,nikawaza sijui nigeuze tuuu. Ila nikaenda ndani, akanifungulia nikaingia, kwa mashaka. Sharo yule mara oooh you made it, welcome, Juice kubwaaaa, mara pringles. nikawaza tu raha za rejareja kama hizi unaweza kuta umeachia marinda yatatuliwe hivi hivi. Basi ananisogelea we just talking and it ws sweet. Mara mlango ukagongwa akaingia Ghati, tukawa tumekaa kimya, Joey kule, Ghati kule, mimi kule kimya. Nusu saa baadae akaingia Malika, nae akakituliza kipapa kimyaaa kama mazombiii, tunaaangalia tv kwa mwendo wa kimya kimya. Mwisho akaja head girl, nae akakitulizaa pale. Likapita isaa katka huo mkao wa kimya kimyaaaa. Tunatoleana mijicho tu.

ITAENDELEA USIKU HUU.
Nimefurahi umenitaja jina langu kwenye story yako. . . .
 
USINIFUNDISHE KAZI TAFADHALIIIIII. Mi hiki kitoto ki soudy nataka nipige nacho mechi a kirafisi ila naogopa kita ni shilawaduuu papa langu kwenye kipindi. Na hivi ndo kuna No shave november, hahahaa nitaadhirika zaidi ya Milly Mwamvua alivopopolewa vuzi zote na Mange Kimambi. STORY ITAENDELEA USKI HUU KUWA MVUMILIVU
ahhaaaa leta story bna sitako story za insta humu achana na kina soudy kwanza
 
The privillaged!
Masaki! i am here baby! Finally. I never thought this day will come. Kila nilipopita mahali hapa nilitamani na mimi niwe mkazi wa eneo hili. The upper side. And now i am here. Unaweza kushangaa why a small thing means so much to me, usiumize kichwa nitakwambia.

Nilivokuwa mdogo by the age of 5 or 6, nilikuja Coco beach na baba yangu, nikamuuliza nani anakaa kwenye hizi ghorofa, akaniambia watu matajiri, nikamuuliza kwanini sisi sio matajiri? Cut me some slack i was just 6, akaniangalia usoni akaniambia kua uyaone. ila mood yake yote ilibadilika.

Kama una dhani that was the stuppidiest thing i ever asked my dad you are absolutely wrong. Among series of abusive questions to my parents i also blamed them for my low IQ, Low life, low looks, low everything. I was ugly, fat, unbright, lazy, unexposed and uneverything. The best my parents hoped for was i find a man, a good man who will have it in him to take care of me for the rest of my life mean while i bear him countless babies, wash his panties, cook him food and rot in the kitchen like other millions of typical Tanzanian women.

That was plan, and it was going well, because my mom never hoped i will see the corridors of higher education, she never wnated me to feel stupid as i was, because like any other mom she was supposed to be the last one to see things for what they are, but she had to prepare me. she taught me to cook well. kwa misosi sina mpinzani. Usafi ndo usiseme, na cha ajabu alinihimiza kupenda kushona, na akaninunulia cherehani kabisaaaa. My sweet mommy.

The day i knew i was stupid, dumb and dummy ni siku mzee alikuwa akimwambia mama, Mungu katujaribu mke wangu, majaribu mazito, silalamiki wala sikufuru, ila mtoto 1 afu ndo huyu uwezo wake mdogo sana kiakili. Mi nikistaafu itabidi tujipange sanaa. nimesomesha watoto wa kaka zangu, dada zangu, sasa sijui kama watamkumbuka huyu mwanetu. Na hata wasipomkumbuka sitowalaumu kwa kweli. Tuombe tu Mungu.

Any normal kid angepingana na hio observation ya mzazi wake , angejitahidi kimprove wrong mzazi wake, angefanya mengi, ila mimi kwa udogo wa akili yangu nikakubaliana na huo ukweli kwamba mimi ni mjinga and i will nevr be anything, my only shot is to depend on people always to take care of me. I became afraid of everything and everyone. I depended on peoples opinions and decisions, i just couldnt trust my dumb mind at all. Nguo lazima nimuulize mama nivae ipi, kwenda mahali lazima nimuulize mama niende ama nisiende.

Watu walivokuwa wakinisema huyo mtoto mbona kama mjinga mjinga, mama alikuwa defensive sanaa, aligombana na kila mtu na kumtenga. "Huyu mtoto aliumwa sanaa alivokuwa mdogo, mwanao angeumwa kama huyu angekuwa kafa siku nyingi sanaaa. Naomba umwache kabisaaa, magonjwa yashamnyanyasa sanaa, kama huwezi kukaa na sisi tokaaa." People learned to be positive about me by force.

The first day i went to my primary school, second primary school manake ya kwanza niliamishwa, ilikiwa hizi za kawaida kayumba kwenda international za english medium sikupata rafiki wiki nzima. i just never knew how to make friends. Kila nikirudi mama anauliza umepata shoga? Namwambia bado, wanaongea kingleza afu mi sijui. Nakaa tu peke yangu. Mama akawaza na kuniuliza Pricilla mnasoma nae? Huyo mtoto wa Mwita? Nikamwambia ndio, ila hanisemeshagi shule sijui kwanini.

Jumapili kafanya manuvaaa mpaka kaifikia familia ya pricilla kanisani mda wa kutoka, akamsalimia mama Mwita, kumbe walisoma wote Jangwani zama hizo walikuwa mabest, Akawa anamwambia na wanetu wawe ma best. Pricilla yupo no mama, she is a dummy, no bad likes her. akachezea kofi moja takatifu toka kwa Mama Mwita chezea Ticha wewe. akaulizwa unatakiwa kusemaje "Yes mom"! Mama Mwita was a nice woman, akawa anamwambia tu mama bado yuko slow, atachangamka, aliumwa sanaa udogo wake. Bt she will be fine. Uje nyumbani tuongeee. blah blah blah tukaachana nao.

Jumatatu Pricilla akanisalimia Bonge mambo? Nikasema poa. Honestly i dont like you, neither do my friends but my mom said i should look after you, i guess now you are in my crew. Utafanya vile nataka, uko tayari. Nikawahi ndio. Then i became A lister, because Pricilla was an A lister. She was bright, the dad was rich some CEO, mama head mistress, analetwa na gari na kufatwa na gari my life could never get any better with the exception za kutumwa kila saa na Pricilla, kumbebea begi, kumpeleka kokote anakotaka kwenda, like her personal property. But life was good, i got to go in every party and all the boys in school were nice to me cause i was Pricillas girl.

Ngogoooooooo! Ngooooooo! Nikastukaaaa, ndo kwanza nahamia nani ananijua Masaki hii? Afu hizi apartment hamna wenye nyumba kugonga sijui nini, ngoja nicheki. Nikaenda kufungua mlango. Nikakuta kundi la wanawake mlangoni. Tobaaaaaa.

ITAENDELEA
U got a talent ujue
 
Huhuhuhu! sasa hapa bila kututajia mida Na hii story inavonoga si tutakesha wengine hapa

Sent from mTalk
 
Lara 1 nikisomaga nyuzi zako.. Huwa napata Picha ya Sandra Mushi... One of the greatest woman in Tanzania.. Though uncelebrated..
2b8191a81c5ee3cc02371e346b660eb5.jpg
1478895036329.jpg
330b2a30108479af6e43df475f54a7f0.jpg
1478895079698.jpg
 
USINIFUNDISHE KAZI TAFADHALIIIIII. Mi hiki kitoto ki soudy nataka nipige nacho mechi a kirafisi ila naogopa kita ni shilawaduuu papa langu kwenye kipindi. Na hivi ndo kuna No shave november, hahahaa nitaadhirika zaidi ya Milly Mwamvua alivopopolewa vuzi zote na Mange Kimambi. STORY ITAENDELEA USKI HUU KUWA MVUMILIVU
sasa huoni akisoma hapa atajua kama ndio wewe Lara 1?
Unataka kushea na Ruby mama...kila la kheri.
 
And the tag of wars may begin.

I dont why if i was the dumbest by then or my mom ha never been clearer on the come back before 4:00pm i had to be the first to leave. I intended to make a quiet exit, enough was enough. Nikasikia sit your ass down, haondoki mtu bila hitimisho. this is stupid and absurd. Joey naomba tuambie which is which? Who is your main chick? Haondoki mtu mpaka mzozo uishe huu, tujue mbivu au mbichi.

Nikakaa nimetoa mijichooo. Joey wala hakupaniki, wala nini akawa anacheka cheka tu. Na mimi nikacheka nilikatwa mijicho hio, nikatulia. Akasema subirini nakuja tukajua kaenda chooni, subiri, subiri na wewe, nikaamua kuondoka, nikasikia Bongeee usitutanie, nikawaambia natema mate hapa nje, motoooo.

I dont know why, who, how, or when it got to school. Ila jumatatu naingi kwenye school bus wanaambiana huyu ndo yule bongeee wa ishu ya jmosi. Rahma na shoga ake siku hio wakanisalimia kwa bashasha, Sidneyyyyyy, weekend ilikuwaje, it was like they sudenly knew me. Kila napopita Sydney, Sdney. I thought i could get used to this. Thanks God i finally got my old life back. Hata Batuli akaacha kuniendeshaa akawa ananisikiza boss wake. Not that i gave up on Joey since he had given me my life back i had all reasons to fight for him.

After 2 days za walk of fame, as i thought it just couldnt get better, nikafatwa na na lile kundi la Tripple Alliance. Malika, head girl, Ghati sasa sijui ulikuwa muungano wa side chicks sijajua. Tumekaa na Batuli akanimbia sikia Bong, ul ujio sio mzuri wala nini, wewe huwezi kuwakabili cha kufanya kimbiaaaa, sepaaa, run for your life. Now, there is no time, run. I just stood there. It might have looked like bravery but it wa stupid and i was shitting on my pants psychologically.

Wakafika, eyoooo Fatty! you have been taking our man lately, hivi wewe wa kukaa sebule moja na sisi Jmosi. By then they were already aggressive. Masingi ya kutoshaaa kichwani. Wakachambaaa, wakachambaaaa watu wakajaaa, nikawa mdogooo, Batuli akaingilia akawa ana wachamba na stillwire na hivi mswahili aliwasuuza kweli kweli. Zogo likawa kubwa, kaka mkuu akaingilia, mimi na Batuli tukaambiwa ndo wajeuri hakuna mfano. Tukapigishwa magoti.

Nikamwambia Batuli i am too stupid, i should give up right. Give up Joey and the drama. I should pursue Joey anymore, shouldnt talk to him, should have nothing to do with him. Batuli likuwa kima nikajua kakubaliana na mimi kumbe anajadiliana na halmashauri ya kichwa chake. Akasema You shouldnt talk to Joey, you should fack him instead. Now they gave you the licence to sleep with him and rub it on their face. It somehow made sense and i couldnt agree more. Nikamwambia lets do this. Batuli yupo si wametaka vita, sasa tuwape vita halali, maana sahivi hii vita ni for nothing, let make the shit real.

Actually Batuli knew part of the story, alihisi Joey keshanitokea kumbe walaaaa. Sasa hapo pakaanza kuwa pagumu. Ikabidi nimwambie Batuli we may a little problem. ya kiufundi. Akasema mbona rahisi kabisaaa. Maisha yakawa magumu haswaaa HG kila akipata mwanya mi na Batuli lazima tuisome namba. The more alivoninyanyasa the more reasons i had to sleep with Joey just to annoy them all.

Big problem Joey was not talking to e no more, like he just changed his mind. I had 3 bitches on my neck, complete freaks and a man who is no longer interested in me, remind me please why didnt i kill my self them. I had no friends because they were afraid of me or of them more since walikua form 3 na mimi form 1, i had a complete psychopath Batuli on my side, even with her psychic powers we were screwed. And i needed my life back.

Batuli suggested since all they want is Joey, we should get Joey. The question was HOW? Yes yes get Joey but HOW? Th problem with Joey he was a man of the people, A nice man, kind man, sweet. He can be beyond nice to you just for the sake of being nice no strings attached.

Batuli suggested maybe because i was fat maybe it made things harder, i should get in shape and i did. I didnt eat for months only fruits and water and i was in shape, no longer fat but Joey didnt notice. I had to ask Joey dont you notice i am a lot slimmer these days, and he was like i liked you fatter better. You used to be you, so happy and full of line, now you just like the rest of them all skinny biches, without dignity nor personality. And that was heart breaking.

I basically threw myself at him any chance i got and not even once he made a pass at me. And words arround the school were never sweet that he was kicking it with Ghati. And now she was the main chick. As i though it was time to back down, Batuli thought it was time to double the stakes and since Ghati is soft on him all decent, we go hardcore on him. Damn and ususal i couldnt agree more.

It was Batulis idea, she wrote him a note, dirty nasty note, "i wann suck your d untill your brains bow off and make love to you madly. Sydney. And give me to slid it on his shirt, and he was with Gatti then. He red it and gave that sneaky smile. Ghati wanted to know what the note said, and he said it was non of her business and Batuli was all thumbs up.

After shcool he came for that date, and couldnt wait he said something on saturday, tumalize mchezo. Basi udende unamtokaaa, i though maybe you didnt have it in you, kumbe i was wrong, i like me the new you. Saturday baby. Sasa nikaanza kuwaza niende au nisiende. I wanted my first day to be romantic and not full of vengeance. Atleast mwanaume anitake, hivo something decent.

Then there was Batuli whining on my ass all day and night not to checken out, aint nothing magical about first times, and even if there was magic it couldnt get fairier than having Joey for my first time. I thought perhaps she was right, Joey was cool and i was ready.

Jmosi tumekutana chocho kanipeleka lodge moj huko matata sanaaa. Kuingi all he meant was business, haina kurembaaa. As shit got serious ikabidi nijiwahi kumwambia taratibu i am virgn.Ikawa kama nimetia shubiri kwenye mvinyo. Akabadilika ghafla. I cant do this, kama bado ni virgn i cant do this shit no more. Vaa uendeee. Ungeniambia mapema nimeingia gharama kibao for some quality time kumbe upuuzi mtupu. Why why why does it have to always be me. My pals are getting them nasty, juicy ladies who do things beyond imigination, but i always get them virgins. He kept winning and winning.

I went back home, and remind me why didnt i kill myself again. I was so ashamed of myself and what i have done, i could never feel any dumber. Jumatatu nayo siku. Nimepanda tu schoolbus nikasikia

HELLO VIRGIN!

itaendelea kesho saa 7 mchana.
 
Back
Top Bottom