Weekend story: Bad wives

Weekend story: Bad wives

Uwiii nimejua kuzurura mitaa mingine humu ili nikirudi nikute kitu kimewekwa kumbe hola....nilale sasa naona hakuna namna nyingine
 
Bibi kidude kubwa la maadui aisee kwanza asante kwa hii kitu tamu mno mpaka wakumbusha jinsi tulivyo bikiriwa Na wengine
Ngoja nisubirie mpaka saba kamili nilale labda kesho ntaikuta
 
Kitu kitamu hatari.!! Lara1 mkali wa simulizi za really life
 
Wadau walionivutia kwa thread nzuri na zilizoenda shule ni huyu lara 1, namfananisha na mdada wa insta mange kimambi, cjui kama siyo mwenyewe maana wamefanana kwa kila trait
 
aahahahhahahhahhaha HILI GOMA LA MWISHO KIBOKOOOO!
#teamAmar#
 
Back
Top Bottom