Weekend njema

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
6523449aad636e13259bd046114a3b63df682405.jpg
 
mmmm!! kweli kuna watu wanaishi!! mtu unaenda kupumzika hapa?!! wengi ni wasindikizaji tu hapa duniani kwa kweli!!!
 
Kwa kuwa competition ni ndogo Afrika.
Ukiwa Marekani, Kanada au EU, kwenda kupumzika nchi jirani ni rahisi sana.

$700-1000 unaweza kununua package ya 3-4 star hotel ya siku 7 (ticket, 3 meals, accommodation and drinks) ya Mexico, Jamaica, Bahamas, Cuba, Dominican Republic na nchi nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom