Chetuntu am in love with you...Have a nice weekend too.
Ukipat nauli mwambie konda akushushe boko basihaya, kuna baa inaitwa Etiennes, jamaa wanachoma mbuzi na kuku kwa roho mbaya!!
Ntakulisha.
Savannah dry
Asante chetuntu, karibu tupate vi-transparent! hapa mwembeni pub!
Is this a joke? You are spoiling me ujue.....Babu hadi nipate nauli? Si unitumie ! Halafu me ntakuwa Liner park boko. Thanx babu kwa mwaliko
Is this a joke? You are spoiling me ujue.....
Msije kuwa majirani zangu Asprini na Chetuntu
Msije kuwa majirani zangu Asprini na Chetuntu
Ahahaaaaa, it's not a joke.
Mbona unahema hivo TFPhewww!!
Chentu girl!!! thanx sana aisee
asante sana mpendwa na ww pia mungu akutangulie akupe aman tele, ubarikiwe.
Thanx mpendwa. Ameen!