Weekend njema wakuu

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Mi nimebanwa sana kikazi wikiendi hii huku Mombasa. Sijui kama nitapata muda wa kuingia jamvini na wakati huo huo kupiga mambo yetu. Lakini naomba niwatakie wikiendi njema wanajamvi wote na Mungu awatangulie kwa kila jema mnalopanga.
 
Mwita25 waenda Mombasa,
angalia sana yakhe mambo ya huko makubwa ati.
 
Aimen mwit25! Na kwako pia,kua makini na mombasa.
 
Mi nimebanwa sana kikazi wikiendi hii huku Mombasa. Sijui kama nitapata muda wa kuingia jamvini na wakati huo huo kupiga mambo yetu. Lakini naomba niwatakie wikiendi njema wanajamvi wote na Mungu awatangulie kwa kila jema mnalopanga.

mwita,mwita mwita!!!asaaalam alheikum!!!!!!!
 
Amen mwita,
Mombasa???utarudi salama kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…