Weekend ndo hii sasa

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,408
3,580
Wakuu humu ndani kwema mabroo na masister shwariii!? Jf yetu hii ni kama Nyumba, ni kama tunaonana tu, mtu ukiwa na mawazo yako basi yanatoka tu,

Connection zinapatikana humu humu watu wanafanikiwa, ila ka tangazo kangu ka kutafuta kibarua watu kimyaaa😃, ila sio inshu ni maisha tu, leo weekend nisiwape mawazo baada ya mapambano ya week nzima,

Leo jumamosi ningekuwa na jibapa hapa freeesh siku inaenda murua nasahau shida na mimi kidogo 😂 Wana na masister mnipige na ambiance niburudike wakwetu maisha ndo haya haya, tutafanyaje ni kutoa stress tu, mnaweza nicheck ata kwa limuhamala mbarikiwe nyote asee🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom