Weekend mbaya, outing imenishinda

Bado ya kumpa kwenda kufuliapichu SKU hizi hawataki elfu kumi wekundu mbili ukitaka arudi
 

Ni pm namba nikuwezeshe faster
 

Naomba namba yake
 
kama unakaaa geto kwako mwelekeze aje mengine yatajuluikana uko uko, au bado unadomea ugali wa mother
 
Tatizo mnapapatikia sana wanawake..it is just a pussy- eeer cat..kila mwanamke anayo.
 
tatizo mnapenda mauzo uonekane unapesa kumbe umekopa kwa rafiki zako
 
Nashangaa kwanini mnawasakama wanawake kupenda wanaume wenye mkwanja mrefu. Sasa leo ndo bibie kaamua wewe mwenyewe mambo ya kubahatisha....ndio nini sasa....yani watu wengine ni useless kuwajua...lol
 

Mkuu we kaa zako home usiende kabisa. Mi yalishanikutaga hayo nikamtoa out huku mfukoni nina 14,000/= tu.
Akala freshi ila baada ya kula akaniambia tukapumzike. Basi nikaaga kwenye chooni, huko nikapiga simu kwa kila nayemjua at last mmoja kanirushia 100,000/=. Tukaenda kupumzika. Huko yalikuwa majanga tu. Nikaamini si kila unayemuona ukamtamani ndani yuko unavyodhani. Yani kesho yake nikarudi home hela sina, kuenjoy sijaenjoy na nina deni la 100,000/=.
Ushauri wangu kaa zako nyumbani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…