donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Piga vitu mwanawane,starehe duniani bwana,huko akhera sidhani kama haya makitu yapo!
Haya wanywaji/walevi mnakaribishwaaa....
Hapo kinywaji kilichopungua ni Gongo, Mapuya, Kindi, Dengelua, na kile kinywaji cha kwa Msee Masawee
Duh !
John Walker nini ?