wEeKeNd hIi wApI WeWe?? sOma hApA yAnGu, vErY iNtErEsTiNg!!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Mimi weekend hii ntakuwa na ratiba kubwa ambayo haijawahi kutokea ktk maisha yangu kwani nimepeana promise na mrembö mmoja ambaye nimempenda sana yani nipo tayari kuwa naye maishani mwote, sasa kesho ndo ntakutana naye ili ni2pe MANENO. Sijawahi kumwambia dada yoyote nakupenda yaani kumtongoza hivyo kwangu event ya kesho ni kubwa hapana kutokea.
BARAKA ZENU NAOMBA ILI NIKUBALIWE!!

Nani atakuwa na Event kubwa kama yangu ama inaendana na yangu?
 
U malayamalaya tu, unaamka asbh yote hii unatuletea ***** humu kwa watu wa namna yako hatuwezi kuendelea.
 
tukutane pale pale mamitoo....then haoooo kwenye kufuata mwanga

sawa kabisa....lakini ninawiwa rohoni kuwa....w/end yako leo hujaipenda....sijui kwa nini....tih tih tih.....

 

hapo kwenye red inaonyesha jinsi gani ulivyo mdau wa vyangudoa,hakuna kutongoza kule..sijui kadi,sijui tukanywe juisi,none of that bullsh*t...all the best player
 
Wa kuonea wivu atakuwa unayetembea na machangudoa? Nadhani ww ndio umepost na ule uzi wa mashoga. Ahahahahahaha, aliyeuliza matokeo yangu nahic ana kichaa, we huwezi kuona hata ninavyochangia kwamba mm sio level moja na wewe?
 
hapo kwenye red inaonyesha jinsi gani ulivyo mdau wa vyangudoa,hakuna kutongoza kule..sijui kadi,sijui tukanywe juisi,none of that bullsh*t...all the best player

Dah! Hapa Jf kwa vijembe, yani unanipa vijembe kabla hata cjaenda but thanx kwa wishes zako.I hope nitapita.
 
U malayamalaya tu, unaamka asbh yote hii unatuletea ***** humu kwa watu wa namna yako hatuwezi kuendelea.

Thanx wakusoma kwanza nilikumic xana manake toka uweke post ya matokeo yako cjakuona tena, pili haya maisha ye2 wote leo kwangu kesho kwako. Tatu, kwa comment yako tu naamini SUZY atanikubali c 2 kuwa boyfriend wake bt kuwa husbnd,
Ntarudi kuwajuzeni kesho yaliyojili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…