Hii club iko maeneo gan aiseeWeekend ndio hiyo imeanza naona watumishi wamekaangwa magu kaondoka na funguo za hazina kulipa mshahara mpaka ageuke,
Wale watafutaji wenzangu uko wapi weekend hii na unakula bata na nani?
Mimi leo nipo gheto mpaka mida hii ila nategemea kutoka muda si mrefu niende Zangu Club 7 (Seven) kuna kiumbe yupo kule namfata akitika narudi nae gheto nijilie vyangu.
Cc Zero IQ
DsmWewe uko mkoa gani kwanza?
Ohh bas shwarii... me nipo zangu Kinyaiya pub R/side hapa nimepoz namtoto akielewa nimuingize hapa lodge dakikaHii ngoma iko jijini dodoma mkuu
Mimi nipo na mkeo mda huuWeekend ndio hiyo imeanza naona watumishi wamekaangwa magu kaondoka na funguo za hazina kulipa mshahara mpaka ageuke,
Wale watafutaji wenzangu uko wapi weekend hii na unakula bata na nani?
Mimi leo nipo gheto mpaka mida hii ila nategemea kutoka muda si mrefu niende Zangu Club 7 (Seven) kuna kiumbe yupo kule namfata akitika narudi nae gheto nijilie vyangu.
Cc Zero IQ
Mimi nipo na mkeo mda huu