Weekend hii; Kabla ya lolote muulize "Tuko wangapi?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weekend hii; Kabla ya lolote muulize "Tuko wangapi?"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Jun 15, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Maana yaweza kuwa mko 39 na akiongezeka mmoja tu mnafikia 40, si mnajua waswahili wanasema za mwizi ni 40? So hiyo 40 yenu itakuwaje..........ni wewe mwenyewe kuamua kwa kuuliza sasa "Tuko wangapi?"
   
 2. Mirhea

  Mirhea JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 317
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe unajua mpo wangapi au unataka tuu kujua ya watu..
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nikishajua.....?
   
 4. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mi nimeuliza nikaambiwa tuko 11 sasa ndio najitathmini kama niendelee kupambana au ninyooshe mikono juu
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Preta, ukishajua unakaa chini na kujitathmini kwa kina kama inafaa kuendelea ama la
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mirhea

  Mirhea JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 317
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pambana bado mpo wachache ila mwambie mkifika 25+ akutaarifu ujivue gamba..
   
 7. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ushauri wako nitaufanyia kazi kwa kina sana
   
 8. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Mr Jr una mambo wewe,sisi tupo 2 sasa iweje
   
 9. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  UPOPO, kama bado mpo wawili tu wala hata haina haja ya kuuliza maana hiyo inaonyesha namna mlivyo waaminifu maana mna kadumu kamoja tu hata chain haijaungana bado......Lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...