weekend fans !wazee wa kula Bata tukutane hapa!!

weekend fans !wazee wa kula Bata tukutane hapa!!

chazachaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
2,824
Reaction score
3,846
Uzi huu ni maalum kwa fans wa weekend,na kula Bata,fans wa counter za juu,tuambie uko viwanja gani,tupia ma picha ,video ,tupia mwaliko kwa mtu unaye mkubali ,n.k
 
leo Niko bored Sana,nimeamua niingie kiwanja flani huku ugenini ,nakula gambe kiasi ,nikatulie lodge ,kesho niamshe dar.
IMG_20220422_210849_766.jpg
 
napata kampani hapa ,na pisi Kali ya kichagga,Ila nistori tu ,ugenini ,naweka tahadhari in advance .[emoji28].
 
ntakuwa image pub hapa maeneo ya vetenal alie karibu asogee
 
Back
Top Bottom