New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 471
- 764
Kumbuka vizuri mkuuJambo gani
Nikumbuke kitu gani? Sema hilo jambo , vichwa vina mambo mengi , kutunza kila utumbo wa humu sio kazi yakeKumbuka vizuri mkuu
Kijana kajipa umuhimu kifala sanaUsituchoshe,tuna mambo mengi sana na muda ni mchache,
Weka hilo jambo au subiri mpaka muda wako wa kuweka jambo hilo ufike.
weka kambi hapa mkuuUsituchoshe,tuna mambo mengi sana na muda ni mchache,
Weka hilo jambo au subiri mpaka muda wako wa kuweka jambo hilo ufike.
Mkuu, unawaza sana weka kambiKijana kajipa umuhimu kifala sana
😁😁😁Kijana kajipa umuhimu kifala sana
Umeweka uzi na sisi ndio wadau ,jambo lako lipi , utawaza jambo chumbani kwako , halafu unataka tulijue automatic, punguza visungura kijanaMkuu, unawaza sana weka kambi
Mkuu, unawaza sana weka kambiUmeweka uzi na sisi ndio wadau ,jambo lako lipi , utawaza jambo chumbani kwako , halafu unataka tulijue automatic, punguza visungura kijana
🚮Mkuu, unawaza sana weka kambi
Usituchoshe,tuna mambo mengi sana na muda ni mchache,
Weka hilo jambo au subiri mpaka muda wako wa kuweka jambo hilo ufike.
Naunga mkono hoja.Nikumbuke kitu gani? Sema hilo jambo , vichwa vina mambo mengi , kutunza kila utumbo wa humu sio kazi yake
Dah,Habari wakuu,
Week hii ninajambo langu zito sana nafikiri baadhi ya watu wanalielewa vizuri.
Kwahiyo tukae attention
Weka kambi hapa