poa........
Swalamaa kabisa yakhe!marhabaaa!!! Swalaamaeeh?
Swalamaa kabisa yakhe!
Hajambo mke mwenzangu?
Afu wewe Preta ndio nini kunigandisha majengo mtoto wa mwanamke mwenzio?
Hahaha, j3 ya lini Preta?dadaaa......kwani nilirudi tena.......na si unajua huku hakuna umeme.......hapa nipo Karatu mjini intaneti kafe.....ili tu nikujulishe kuwa.....nitarudi na bhui bhui.........nitashukia Ngarnaro......nisubiri hapo J3........
dadaaa......kwani nilirudi tena.......na si unajua huku hakuna umeme.......hapa nipo Karatu mjini intaneti kafe.....ili tu nikujulishe kuwa.....nitarudi na bhui bhui.........nitashukia Ngarnaro......nisubiri hapo J3........
Tobaaaa, nishanunua mkaa kwaajili ya maji ya kunyonyolea kuku lol.si ile ijayo.......