Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,836
Who told you that I have a perfect marriage. Ndoa yangu ni ya kawaida. Ni kama za watu wengine. Nina miaka minane kwenye ndoa and am 35 years old. Mume wangu ni mpole na msikivu sana ila alishawahi kuni cheat while was pregnant na kipindi hicho ndoa ilikuwa na miaka sita. Ila ambacho naweza kujisifia ni kuwa najiheshimu sana na kazi yangu inanifanya wakati mwingine nilazimike kujiheshimu zaidi. Ila si kazi tu nakumbuka hata wakati niko college vijana walikuwa wananiogopa sana wanasema niko very serious. Aah. Afu nilikuwa nashika namba class. Si unajua wanaume hawapendi wanawake wanaojiamini na walio kind of powerful. Hiyo imenisaidia kuwa wachafuzi walikuwa wanacheza mbali na mimi na walionitokea walikuwa real serious including my hubby.
in that case umejibu swali langu
mark my words you aint seen nothin yet.....
at 35 still kuna mengi mno huko mbele......
siku moja utajishangaa wewe mwenyewe.....like did i do that....?
wanasemaga life starts after 40, mimi bana ndoa za leo siziamini mpaka nione mmoja kazikwa, kuna vizee vya 50 majuzi nimeshuhudia vinatimuana, kizee kizungu cha kike kilikuwa kina mahusiano na kijana wa 20's black.
yep spot on! ilitokeaga Belfast junkie alikuwa anajimegea na hela za matumizi anapatiwa na marupurupu kibao, lilikuwa bonge la kashfa lakini si unajua wazungu ni mabwege tuNakumbuka mwaka jana ile au sijui mwaka juzi kuna mke wa waziri mkuu wa Ireland (kama sijakosea) alimegwa na janki na likawa bonge la kashfa.
kloro thanxs kwa kutukumbusha usemi huo
LIFE START AT FORTY....
Nakumbuka mwaka jana ile au sijui mwaka juzi kuna mke wa waziri mkuu wa Ireland (kama sijakosea) alimegwa na janki na likawa bonge la kashfa.
huwa yananitokea mnoooooooo, ila huwa nachukulia hali ya kawaida,Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
kloro thanxs kwa kutukumbusha usemi huo
LIFE START AT FORTY....
huwa yananitokea mnoooooooo, ila huwa nachukulia hali ya kawaida,
huwa najichukulia kama natamani mali za watu na huwa najitahidi sana kujizuia maana huwa wa kwangu kutamaniwa inaniuma sana.
sipendi kumfanyia mtu kitu ambacho mi sipendi kufanyiwa
Filosofi ipo kwamba unapofika 40 unaanza kujiskia unamiss ujana na unataka either kufanya what u didnt do au at least to replay what u enjoyed the most ulipokuwa kijana. Na balaa huanzia hapo
Filosofi ipo kwamba unapofika 40 unaanza kujiskia unamiss ujana na unataka either kufanya what u didnt do au at least to replay what u enjoyed the most ulipokuwa kijana. Na balaa huanzia hapo
Midlife crisis... uko forty with a family of five unaenda kununua gari aina ya sports car... na you are just a middle class citizen...
mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....
Midlife crisis... uko forty with a family of five unaenda kununua gari aina ya sports car... na you are just a middle class citizen...
Kama hauna ndio mbaya zaidi, ogopa sana watu ambao hawakumess kwenye ujana wao, hawa wakimess uzeeni basi Hurricane Irene ina afazaliSi mpaka uwe na hizo CD za ku replay. Hapo ndio watu usema tabia ujirudia.
mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....
Unakuta kabibi kana 50 kanavaa kimini halaf kanakulembulia macho, halaf ukikiamkia "shkamoo" kanaitikia "poa tu", tumataftiana ubaya tu
You just turn yourself into a workaholic