Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
So you think those words are there because people are so immoral nowadaysA major factor in people's licentious behavior especially to those in committed relationships.
Wala hujaenda chaka, kwa hiyo kutamani ni nature ya sie binadamu?Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
mhhh sometime nature takes its place
U just admire and leave or u just admire and take a further step but with conscious
Or u just admire, take a step further and believe that nothing will happen
Or u just admire, take a step and duffer the consequences
to me natamani, na then namshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kuendelea na mambo yangu
Sijui nimeenda chaka
So you think those words are there because people are so immoral nowadays
Kuwa na hizo ni feelings tu, sio kwamba mtu anafata anavojisikia, anajisikiza na kujiuliza
kwa nini ajisikie hivo, wewe haijawahi kukutokea kwa namna yoyote?na kama
ilikutokea ulichukua hatua gani?
Wala hujaenda chaka, kwa hiyo kutamani ni nature ya sie binadamu?
Ndio Shantel ni kweli unaweza kumpa nafasi total stranger na ukashangaa muujiza utakaotokea
unaweza ukawa na uhusiano na mwanaume ambaye unamjua nafikiri tangu mdogo sana na mkakua wote, then mkawa na uhusiano
, mkafail kabisa kwa sababu zisizoeleweka, then akatokea total stranger, ukampa nafasi aaaaaaaaah the rest inakuwa history
mimi ni mfano tosha sana,yaani raha kamili kila mahali
Yah hii ina aply kwa watu wenye uhusiano, lakini kwa single ambae anatafuta uhusiano si vibaya kudate na ikitokea humjui mtuNi nature na sidhani kama kuna kiumbe asiyetamani
Kuna kutamani ambako ni kubaya yaani mtu anajiapiza ni lazima nikipate kile ambacho ametamani
Kuna mwingine anaadmire na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kuacha mambo yaendelee kama yalivyo
Ila sasa wabaya ni wale wanaosema ni lazima nikipate hajali matokeo ya kutamani kwake wala hajali kama kiko possessed au hakikamatiki
And he has a simple look tooIs he "tough in wallet"?
Thanks NN and how can someone overcome those thoughts, kwa faida ya wote pleeeeeaseAll actions are preceded by thoughts and if you abandon yourself to such thoughts then it is more than likely that one day you will act on them.
The challenging part is to overcome them consistently and thoroughly. This is where most people fail, IMHO.
Sasa kwenye simu na net unawezaje kutamani kwanza ili uendelee na process ingine au kuna kitu more than kutamani?Yah hii ina aply kwa watu wenye uhusiano, lakini kwa single ambae anatafuta uhusiano si vibaya kudate na ikitokea humjui mtu
pia si vibaya kujaribu sababu huwezi jua what is in store......hapo ndio singles wanajimwaga tu...mwanzo wa uhusiano ni kutamani
kama sikosei
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
Thanks NN and how can someone overcome those thoughts, kwa faida ya wote pleeeeease