Weee nyeusi ni nini?

Na kweli ni giza maana mambo yanayofanyika nchi hii mengi mabaya lakini atuyaoni inawezekana sababu ya iyo langi a.k.a Giza.
 
Dogo anaonekana 'jiniasi' huyu, Hapo mwalimu sijui katoa jibu gani kwa dogo​
 
Mkinipa irais tu nabadirisha rangi ya bend era ya taifa,navunja muungano,japiga virabu /club/pub zote zintafujguliwa saa 12 jion na kufungwa saa3 usiku saa 4 usiku kila mtu Kuala saa 5 usk nakata umeme was mjumbani kote zinabaki taa za barbarni tu ,machaodoa kaz hamna kwenda kulima wote.
 

Umepita bila kupingwa...fanyia kazi suala la mwandiko tu mh rais
 
Nyeusi ni ya waTZ wanaokipenda chama cha magamba, wanakaa gizani lakn hawajitambui its highest time to change now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…