Weee Joni, weee acha kumtesa mtoto wa mwenzako we........

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
John_Henry_Fuseli_-_The_Nightmare.JPG
 
Kumbe na wazungu wanawanga kibongobongo?
Sisi tunatumia fisi, wao farasi
 
Kumbe na wazungu wanawanga kibongobongo?
Sisi tunatumia fisi, wao farasi
wazungu ndio magwiji wakubwa wa fani hii ya ulozi, wakifuatiwa na wachina kisha wahindi. Waarabu na majini yao wanafuata kwa mbali sana. Waafrika ndio wa mwisho kabisa
 
Mbuzi Mzee, kitu kimekuja chenyewe. Mi sielewi kati ya "mbunye" na kukalia tumbo kipi raha na kitamu?
Bujibuji, hilo ni jinamizi linamtesa huyo mama, nadhani hata wewe ulishatokewa na kitu kama hicho ukiwa umelala. kila ukitaka kuamka unahisi kuna mtu ama kitu kinakukandamiza kwenda chini. kila ukijaribu kutoa sauti, haitoki. ndiyo hivyo sasa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom