Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,021
- 1,739
Kula sana bangi a herb
Au vutia masikan tena ukiwa unaanza kuvututa kila msela anakususia tuUkitaka bangi ikukolee vutia kwenye gari, funga milango yote then kama una mzigo wa bunda nzima vuta wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Ila ganja alone sikushauri sana now adays, waweza wehuka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Au vutia masikan tena ukiwa unaanza kuvututa kila msela anakususia tu
Ni noma!Daaah!
Post sent using JamiiForums mobile app
Uwe na mzigo wa msosi pembeni. Bunda zima lohUkitaka bangi ikukolee vutia kwenye gari, funga milango yote then kama una mzigo wa bunda nzima vuta wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Mbona linakwenda, nilishawahi kufanya hivyo kipindi naishi home, maskani niligonga bunda peke yangu, kurudi home msosi wa familia nikagonga peke yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Uwe na mzigo wa msosi pembeni. Bunda zima loh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbona linakwenda, nilishawahi kufanya hivyo kipindi naishi home, maskani niligonga bunda peke yangu, kurudi home msosi wa familia nikagonga peke yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Ha haaa watu wakalala njaa kwaajili yako. Hufai weweMbona linakwenda, nilishawahi kufanya hivyo kipindi naishi home, maskani niligonga bunda peke yangu, kurudi home msosi wa familia nikagonga peke yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Father alinimind sana but nikajitetea, nilimwambia" mbona kamsosi kenyewe kalikuwa kadogo tu"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Ha haaa watu wakalala njaa kwaajili yako. Hufai wewe
Ha ha!Haya karibu and feel irie..!Katika maisha yangu ya ujana hii ni starehe ambayo sijawai itumia .
One day nitajiribu[emoji12]
huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
Wanaita hotboxingUkitaka bangi ikukolee vutia kwenye gari, funga milango yote then kama una mzigo wa bunda nzima vuta wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Embu wacha tetesi, tuletee ushahidi toka kokote tuu, hata kwa wagalatia [emoji35], Huu majani ulikutwa katika hata kaburi na hekalu la mfalme suleimani, I so wacha story za urongoTetrahydro Cannabino in Chemistry, Kush inasemekana huu mmea shetani aliukojolea kipindi ametupwa duniani.. ukalaaniwa kwa staili hiyoo
Ukikutana na asali ya nyuki hawa lazima uwe airee kama grupu la marasiView attachment 578617 Hata nyuki wanaipenda hii kitu.