maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,831
Kwenye taarifa ya habari sasahivi Ufo Saro baada ya Kumtaja Prof. Ndalichako kuzungumzia wanafunzi feki wa vyuo vikuu alimtaja pia Prof. Mwageni (katibu mkuu) lakini akamtaja kama Bwana Mwageni.
Wewe Ufo Saro ohoooo angalia sana huyo ni Professor pia sio Bwana.. Ndio maana hata kadi za harusi zinatenganisha Bwana/Dr na Professor....uwe unauliza. Na kwa taarifa yako hii serikali ya Magu hao wakubwa wengi wao kama sio Dr. Basi ni Profesa... Ila tu usije ukakariri hadi ukasema Profesa Nape ohooo.....
Hiyo ni kwa taarifa yako