Kongosho unanikimbia eeeee?Mxmbona jinsia ya Nitty haijawahi kuwa kontrovesho hata siku moja?
Au unataka umkontovesi wewe?
Afu weye mbona Mr.
Na kamerun bado haramu TZ?
Anyway, try this at home
haramu zote tamu
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.
weye tsunami eeeh
wakumba vyote.
Yangu macho, sitii neno hapa.
Hv kwan n sheria kutoka na m2 cku hiyo?
Achana nae bana, huyu anatafuta umaarufu kwa staili ya kuchafua majina ya wenzie!Ila sishangai maana ulisha mzimia hata Invisible
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.
Ila sishangai maana ulisha mzimia hata Invisible
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.
Achana nae bana, huyu anatafuta umaarufu kwa staili ya kuchafua majina ya wenzie!
Mwandiko wako tu unaonyesha kuwa wewe ni mwanaume tena wa shoka! Asikuzingue, usiharibu siku yako dakika za majeruhi. Mpotezee kabisa!
dah!MxSamahani ndugu,kumbe we "M"!!siunajua jf hakuna picha wala nini!!punguza mipasho wewe,mimi nilikuwa na jua wewe ni binti wa kitanga au zanziber!!kumbe nimeingia chuo cha MASHETANI..!!
Je na huyo mwenzio Mpwa wako "REJAO" nae ni MKE AU MME??yaani ni Bi.Rejao au Bw.Rejao??