Vijana wanapaswa kujua kuwa ngono ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanadamu na kuna maisha mengine na mambo mengine ya msingi nje ya ngono.....
Vijana waliowahi kulijua hili sasa hivi wako mbali sana kimaisha kwenye nyanja mbali mbali......
Mbinu, maarifa na nguvu zinazotumika kwenye ngono na kumfurahisha mwanamke wangezielekeza sehemu nyingine zenye tija kwenye maisha yao hakika wangepiga hatua kubwa sana.......
Vijana ni kama wamepatwa na pepo la ngono vichwani mwao.....kila jambo linatazamwa kingono ngono tu.....kuanzia miziki, filamu na mpaka story za vijiweni vyote vimebeba maudhui ya ngono tu.........
Ni mtazamo tu.....